Ushamba kweli noma..

pepim

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
335
51
Kuna jamaa alitoka bush na kwenda kumtembelea jamaa yake aishiye mjini..Kwa bahati mbaya au nzuri jamaa alipofika kwa mwenyeji wake akapewa chumba ambacho ni self-contained(choo+bafu ndani)....Jamaa akalala kwa uchovu wa safari, kulipokucha alichukua mswaki wk na kuingia bafuni,kwenye sinki la kunawia kulikuwa na kikombe lakini maji yalikatika..Jamaa alichukua kikombe hk akitafakari jinsi kupata maji,mara akaona choo cha kuflash cheupe kikiwa kimefunikwa..Jamaa akakisogelea na kukifunua looh,alihamaki hk akifurahia kimoyomoyo baada ya kuyaona maji ktk choo..Kisha akasema mjini raha kweli chemichemi mpaka ndani.Maskini bila ya kujua akatumbukiza kikombe na kuteka maji ya chooni na kupigia mswaki....
 
hii niliiona miaka ya 90's kwenye magazeti ya Sani enzi hizo kama sikosei...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom