Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,314
- 14,989
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa (>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...
Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!
Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...