Ushahidi Watz tuna IQ Ndogo!

Ushahidi Watz tuna IQ Ndogo!

Mzizi wa hoja aliyoitoa ni suala la Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sina data za IQ, hivyo siwezi ku-comment chochote.
sasa na wewe saizi yangu using'ang'anie na kushupalia jambo hilo hilo moja ambalo mimi kwa maoni yangu naona hakutumia mfano mzuri, yaani wewe saizi yangu unataka mpaka mtu akupigie magoti ndiyo yaishe?.
 
Suala kubwa hapo ni uzalendo,utanganyika na uzanzibari unapowazuia watu wasijadili kwa uwazi masuala ya muungano na aina ya muungano wanaoutaka na kuzima matakwa ya raia wengi kuyazima kwa maslahi ya kikundi kidogo(chama),madhara yake ndo haya watu wataanza kutoa madukuduku yao. Inashangaza wewe mwenye IQ kubwa hulioni. Wanaoharibu mchakato wa mjadala wa katiba wanaonekana na kujulikana huwaoni unatupa mashambulizi kwa wanaojadili haki yao ndiyo maana hata waziri mhusika wa zanzibar kaliona hili,kufumbia macho na kutotafutia ufumbuzi ndiyo IQ kubwa? Wanaovuruga mjadala na wanaojadili masuala haya madogo kuyaweka sawa wepi wenye IQ ndogo? Tusipotoshe maana kwa kujaribu kuonyesha hekima feki wenye IQ ndogo wanajulikana walioingia na misimamo ya chama badala ya wananchi kama una ubavu wakemee.
 
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...

Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!

Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...

NI kweli Linaweza kuwa swala la IQ lakini si kwa watanzania tu bali ni waafrica wote kwa ujumla. Tafiti zilizowahi kufanywa na wanasayansi kuhusiana na ni race ipi yenye IQ kubwa na ipi yenye IQ ndogo zilionyesha kwamba wazungu ndio wanaongoza kwa kuwa na IQ kubwa wakifuatiwa na waeshia then waafrica wanashika nafasi ya tatu. Hata hivyo utafiti mwingine uliofanywa na mwanasayansi mmoja wa uingereza japo ulipingwa na watu wengi ulionyesha kuwa matatizo ya africa hayatokani tu na madhara yaliyoletwa na utawala wa kikoloni bali pia swala la IQ yao kuwa ndogo. Binafsi nilikubaliana naye kwa kiasi fulani kutokana na ukweli kwamba ukiiangalia africa ni bara lililojaliwa kuwa na utajiri mkubwa wa rasilimali lukuki lakini tumeshindwa kutumia rasilimali hizo kuendeleza mataifa yetu badala yake tumekuwa ombaomba na pia tumejeuza mataifa yetu kuwa uwanja wa mapambano wa kugombea madaraka. Kwa hiyo kunaukweli fulani. Japo tafiti nyingine zinaonyesha pia kuwa hali ya maisha na mazingira ya africa yaweza kuwa ndio iliyopelekea watu wake kutokuumiza vichwa tofauti na mabara mengine ambamo kumekuwa na changamoto lukuki. Africa ni bara lenye hali ya hewa nzuri hakuna majanga makubwa ya kimazingira, chakula kipo cha kutosha, ardhi yenye rutuba, maji yanatiririka milimani mtu aweza jichotea na kutumia, matunda ya mwituni mengi mtu aweza kujichumia na kula kama miaka ya nyuma uliweza pita shambani kwa mtu kama una njaa ukachuma ndizi au embe au pera ukala kwa hiyo mazingira hayo yalipelekea kwa kiasi fulani watu wa bara hili wasiumize vichwa vyao kufikiria waishi vipi na hiyo ndio imepelekea sisi kuwa nyuma na wenzetu kuwa mbele.
 
Upo sahihi haka kazanzibar kaondoke.tubaki na tanganyika yetu.
 
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa (>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...

Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!

Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...

Kwa kuwa Zanzibar ni ndogo una maana wao wawe na haki ya kupata ardhi Tanganyika lakini watanganyika wasiwe na fursa hiyo?
Si wanataka usawa kwa kila kitu? Wanayo haki ya kudai usawa lakini iwe kwa kila kitu. Hata ruhusa ya watanganyika kupata ardhi kule ikiwepo bado itakuwa nadharia zaidi kuliko vitendo. Pamoja na hayo haki hiyo lazima iwepo!
Huku bara wamekamata ardhi kwa kigezo cha utanzania. Kuwanyima watanganyika haki hiyo kule Zanzibar ndio kuwa na IQ ndogo!
Kama ni udogo wa nchi, basi tuwaruhusu hata Rwanda na Burundi. Huu muungano hauna bima yoyote. Siku ukifa, wazanzibar watakuwa sawa na raia yeyote wa EA!
Sijui kama hao wapemba watabeba ardhi na nyumba zao
 
....ta ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...

Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!

Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ! .....

So long as my EMOSSIONAL INTELLIGENCE ( is the ability to identify, assess, and control the emotions of oneself, of others, and of groups. It can be divided into ability EI and trait EI) is super and fine I don't care about Intelligence Quotient (An intelligence quotient, or IQ, is a score derived from one of several standardized tests designed to assess intelligence. )
 
sasa na wewe SAIZI YANGU using'ang'anie na kushupalia jambo hilo hilo moja ambalo mimi kwa maoni yangu naona hakutumia mfano mzuri, yaani wewe saizi yangu unataka mpaka mtu akupigie magoti ndiyo yaishe?.

tatizo lako SAIZI YANGU bado unang'ang'ania kitu hicho hicho
Hebu ninyi watu wa Azimio la Arusha kina Sendeka muwe mnawasikiliza na wenzenu
UJERUMANI ilipoona hakuna haja ya kutengana ndipo ikaungana tena na
Hata URUSI ilipoona wanatofautiana ikatengana
Zanzibar 98% ni Waislamu wanaitaka Nchi yao kwa nini kuing'ang'ania?
Bado nina wasiwasi kuwa ni gwiji km Ole Sendeka usiyejua Dunia inabadilika tangu enzi za Gobarchev
upo fikra za Mwalimu na chana kimoja

Tyta kijana wangu, naomba picha ya intelligence quotient ya huyu Kijakazi in A4 size!
 
Last edited by a moderator:
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa(>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...

Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!

Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...

Mkuu ungekuwa unafuatilia siasa za kimataifa ungegundua kuwa unachoongea ni PUMBA.
Anzia ugomvi wa Kenya na Uganda juu ya kisiwa ndani ya ziwa Victoria, Sasa hivi Ukrein na Urusi, Sudani Kusini na Kasikazni, Mali (bamako) na Tualregie.....
Kuna sababu mbili kubwa, maslahi ya taifa, kiuchumi, kiusalama..., masilahi ya viongozi wa pande zote mbili, fuatilia Muungano wa Unguja na Tanganyika ulikoanzia utakuta kulikuwa na maslahi pande zote, Nyerere aliona ili awe salama na Waingereza wake lazima aiweke Zenj mikononi, huku Karume akiwa na Wa komunist alikuwa na hatari ya kupinduliwa hivyo naye akaona bora aungane awe na nguvu.
Rudi katika historia naamini utaufuta huu uzi.
 
Sina shaka ubongo wa mtoa mada and his supporting team upo kwenye makalio...hivi unajua kwamba unaweza Kula Paja zima kubwa la ng'ombe na usipate vitamins kuliko yule anayekula panya nzima mwenye umbo dogo kabisa na akapata everything in it? Think Bog mkuu.
 
Leo IQ inapimwa kwa Malumbano ya Zanzibar! Duh! inabidi tuanze kukupima IQ wewe kwanza
 
Sijajua upembuzi wako umezingatia nini! Kuhusu aldhi ndogo labda profession yako inakubana, ardhi ina value, inawezekana value ya ardhi ya Zenji ni kubwa! Sijui kama ulizingatia hilo katika kupima IQ! Mbona oysterbay ardhi ni aghali wakati kuna poli kbala ya mikumi ambalo halina mtu,IQ yako ilikupitisha huko?

Kwanini kama Mzanzibari ana uwezo wa kununua na kumiliki ardhi Kariakoo ambako hakuna ardhi, na mTangnyika asinunue na kumiliki huko? IQ imekupitisha huko? Au wazo alako ni kuwa kwakuwa Zanzibar hakuna ardhi ya kutosha basi iwe haki ya Wazanzibari ila huku ambako kuna ardhi ya kutosha iwe yetu wote? IQ yako inakuongoza hivyo? na Kariakoo kusiko na ardhi je? na Tandika? Angalia IQ yako mkuu!

Ukinisoma Vizuri kuna Mahali nimeandika neno KIPAUMBELE! Nilichosema ni kwamba ukubwa wa eneo la Zanzibar pmj na idadi ya wakazi wake ukilinganisha na Bara, haipaswi kuwa Kipaumbele chetu ukilinganisha na mambo yanayotukabili, kwa Mf. Madini yenu yamekwisha faida hatuioni, Gesi yetu inachimbwa pia itakuja Kwisha faida haionekani na haitakuja kuonekana, Ardhi yetu inauziwa Wageni Wazungu, Waarabu na Wachina hakuna kitu tunapata, Eneo letu la Bahari wamepewa Wachina na Wajapani wavue samaki wanavyotaka kwa maana kwao wameshamaliza kwenye Bahari yao bila faida yoyote, Samaki wa Ziwa Victoria wanavuliwa na Wazungu na Wahindi mpaka wamekwisha sisi tunaambulia kula Mapanki n.k na ndio maana nasema kama Nchi tunaona haya niliyoyaoredhesha na mengine Mengi yanachukua nafasi ya nyuma dhidi ya Swala la kama Mzanzibari atapata kulima Bara au la basi tuna IQ ndogo!
 
Ushahidi kwamba Watz tuna IQ ndogo ni huu kuhusu malumbano na Zanzibar! Kwa nini nasema hivyo, ukiangalia Zanzibar ina kilometa za mraba takribani 2600 (2600 km²) na Watu wasiofika Milioni moja (1,000 000) wakati Tanzania Bara ina zaidi ya kilometa za Mraba laki tisa (>900 000 km²) na watu wanaozidi milioni 40 (40 000 000) lkn tunapoteza Muda, Nchi nzima kujadili haki yetu ya kupata ardhi Zanzibar, tupoteza Muda kujadili eti kupewa haki sawa na Zanzibar ktk Muungano...

Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!

Hivyo wanaotafuta mchawi wa kwa nini sisi ni Masikini jibu lipo nalo ni moja tu, IQ!
IQ ndio ya kulaumu, yaani uwezo wa kuona na kuamua ni mambo gani ya kuyapa Kipaumbele ktk Maisha ndio mwisho wa siku unaamua ni nani aweze kuendelea kiuchumi na nani azidi kubakia kuwa Masikini...
Umemaliza! Ni sawa na baba mwenye nyumba rijali mwanaume original wa kiafrika (sio hawa wanaoushobokea ushoga) uanze kubishana na mke wako asubuhi eti nani atandike kitanda!?
Upumbavu Upumbavu Upumbavu!
Tanganyika ni mume, Z'bar ni mke, fullstop!
 
sasa kama mke hakutaki,na vituko anakufanyia,tena vikubwa tu. Kaanzisha utawala wake,sheria zake nk,tena ndani ya nyumba yako.Wewe bado unamn'gan'gania. -------- ni nani hapo?
 
Well, sitaki kukukatisha tamaa kwa kiwango chako cha kufikiri na kupambanua mambo. Kwanza si kweli kwamba watz wengi wana IQ ndogo, ninachojua wengi ni wavivu wa kufikiri, kama si wepesi wa kusahau mambo ya msingi.
Pili nina shaka na IQ yako unayojisifia kwayo huku ungali unashindwa kuelewa muungano haukujengwa ktk msingi wa ukubwa wa eneo au wingi wa watu. Kwa kuwa tayari tulishakuwa kwenye muungano la kujadili si idadi au ukubwa bali ni terms za muungano. Hawa wachache walio ktk muungano wanahaki za msingi kama hawa wengine. ww leo kwa kuwa upeo wako wa kufikiri unaishia kwenye ukubwa na idadi. Kinacholeta shida ktk muungano ni histiria yake na terms za muungano na si kweli kwamba tunataka ardhi ya zanzibar, kwa lipi?

Wewe ndo una IQ ndogo. Issue ya Zanzibar ni sensitive sana. Kwa waona mbali huwezi ukaijadili kijuu juu tu. Huna data unaposema "Hakuna Binadamu yoyote mwenye IQ kubwa ambaye anaweza kupoteza muda kujadili mambo yenye uwiano kama Huo! Nasema Dunia nzima hakuna, ni sisi tu!. Kam unafuatilia vyombo vya habari utaelewa ni kwanini Urusi ana nchi za Europe na Marekani zinataka ushawishi wa nchi ya Ukrane hasa kisiwa cha Crimea. Ujiulize kwani vita ya Uingereza ilipigana vita kugombea kisiw cha Falkland wakati kisiwa hicho kipo karibu Km 12734 kutoka Uingereza. Kaka no reserch, no right to speak.
 
Well, sitaki kukukatisha tamaa kwa kiwango chako cha kufikiri na kupambanua mambo. Kwanza si kweli kwamba watz wengi wana IQ ndogo, ninachojua wengi ni wavivu wa kufikiri, kama si wepesi wa kusahau mambo ya msingi.
Pili nina shaka na IQ yako unayojisifia kwayo huku ungali unashindwa kuelewa muungano haukujengwa ktk msingi wa ukubwa wa eneo au wingi wa watu. Kwa kuwa tayari tulishakuwa kwenye muungano la kujadili si idadi au ukubwa bali ni terms za muungano. Hawa wachache walio ktk muungano wanahaki za msingi kama hawa wengine. ww leo kwa kuwa upeo wako wa kufikiri unaishia kwenye ukubwa na idadi. Kinacholeta shida ktk muungano ni histiria yake na terms za muungano na si kweli kwamba tunataka ardhi ya zanzibar, kwa lipi?

Nakujibu ingawaje nafikiri umemnukuu mtu tofauti na mimi ila nahisi ulikuwa unanilenga mimi mleta Mada!

Ukinisoma tena vizuri utaona kuna mahali nimeandika neno KIPAUMBELE, sijasema kwamba Zanzibar au sijui Muungano hauna haja ya kujadiliwa la hasha!
Bali nimesema ktk Nchi ambayo ukifungua tu mlango wa nyumba yako asubuhi unaona Umaskini umekuzunguka hatukupaswa kupoteza muda na siku kujadili Muungano wa 2000 km², bali tulipaswa tutoe KIPAUMBELE kwenye mambo ya kutupunguzia Umaskini kama Madini yetu yanavyoibiwa, Gesi yetu jinsi tunavyoigawa bure kwa Wageni, Ardhi yetu kuilinda na kuitumia kwa ajili ya manufaa yetu na vizazi vyetu na siyo kuwapa Wachina ndicho nilichomaanisha!

Na IQ kubwa ama ndogo inatawaliwa na mambo kama hayo, yaani wewe kama Binadamu ni vitu gani unavipa KIPAUMBELE cha kwanza au ni jambo gani unaamua kulifanya kwanza kabla ya lingine...
 
Kisiwa cha Migingo hapo Lake Victoria, kinawatoa roho Kenya na Uganda! Hilo ni suala la IQ pia! Japan na China walikuwa wanagombea kisiwa kisichokaliwa kabisa, kina ukubwa wa KATA YA KKOO, je hawana IQ kubwa pia?

Point ni kuuvunja muungano, then tukae miaka 50, tutajua kama kulikwa na umuhimu wa huo muungano au Lah!?
 
Back
Top Bottom