Ushahidi: Waandikishaji waandika majina hewa ili kujaza akidi waonekane waliondikishwa ni wengi kumbe bao la mkono, yadaiwa ni agizo toka mzizi mkuu

Cyber crime...law itumike kama kuna uzushi katika hili.i!!! Na kama ni kweli wahusika washughulikiwe kwa sheria zilizopo za utumishi wa umma na usimamizi wa uchaguzi.
====
Tunataka matokeo halali, hata kama kuna mbinu za kuchafua matokeo hayo.
 
Mkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Manispaa ya Temeke imeteuliwa kuwa eneo la kujazia majina hewa , zoezi hili linafanyika usiku wa manane , wajazaji wanalipwa kati ya elfu 10 na elfu 15 tu , hii ni baada ya kukamilisha kujaza majina hewa 550
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…