Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Uongo gani katunga mkiambiwa ukweli mnasema uongoMkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Jiwe huwa halikuwi, katika vitu turakavyo kumbuka katika historia ni nchi kuwa na jiwe kipindi hiki.Jiwe sijui atakua lini?
Au boss wa NECTANchi hii sasa hivi kila MTU anatakiwa kufanya kama Harmonize, kusifia sifa àmbazo hata hazipo.
Mkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
HII NDIYO ILE STAILI YA KUJIMWAMBAFAI
Uwongo gani ilhali kaweka ushahidMkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Manispaa ya Temeke imeteuliwa kuwa eneo la kujazia majina hewa , zoezi hili linafanyika usiku wa manane , wajazaji wanalipwa kati ya elfu 10 na elfu 15 tu , hii ni baada ya kukamilisha kujaza majina hewa 550Mkuu wakati mwingine unajishushia heshima yako kwa kupenda kutunga uongo!
Hahahaaa......... Siasa ni sayansi!