Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
Nimefanya utafiti nikagundua kuwa karatasi ya kura ata bila ya kupigwa ikipata unyevunyevu au ukiimwagia maji inaonyesha tayari tiki imepigwa kwenye sehemu ya CCM
kama kuna yeyote mwenye shaka au tume ikitaka ushahidi basi niko tayari kuwaelekeza , nimethibitisha pia kwenye uchaguzi wa IGUNGA
dafaiza mwambie huyo ni mfa maji haachi kutapatapa,wakubali wamepigwa bao la kisigino,wakubali tu kuwa wameshindwa,manaHodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
dafaiza mwambie huyo ni mfa maji haachi kutapatapa,wakubali wamepigwa bao la kisigino,wakubali tu kuwa wameshindwa,mana
Asiekubali kushindwa si mshindani,wajipange upya wasubiri 2015.
Hodari sana wewe wa kuvumbuwa mambo, ulikuwa wapi mpaka uchaguzi wa Igunga umekwisha? Unanchekesha.
Kwahiyo ndio kusema ndani ilikuwa na tiki, ila kuna very tiny white paper imeifunika ile tiki, kiasi kwamba ukiimwagia maji au unyevunyevu ile tick inaonekana!! Nadhani this is very intergrity theft teqnc!!
wizi mwingine ccm na tume wanaofanya ni zile karatasi za kupigia ni self copy ukiandika juu baada kama nusu saa maandishi yote yanafutika mbinu hii waliitumia ccm mwaka jana kutangaza matokeo kwenye kata wakala akibishi anaambiwa lete nakala yako wakiichek matokeo yamefutika. Ushahid mi mwenyewe nilikuwa msimamizi kijijin ambako hakuna usafiri wala mawasiliano ya cm tulipomaliza kuhesabu kura na kubandika matokeo tukarudi katani(center ya matokeo) nikashangaa kukuta viongozi wa ccm kutoka wilayan wakijumlisha matokeo yao cha ajabu matokeo ya kituo changu walishayapata kabla ya cc na gari letu hatujafika. Ccm wezi sana