Ushahidi tuhuma za January Makamba

Mwitaliano Mjanja sana, baada ya kusikia makamba anasema ALIKUWA anatumia MADAWA ya kulevya na ana madeni Hyatt akaona Jera inamtafuta na anaweza kubambikiwa kama ilivyo kwa mapolis wetu wa kaya akaagizwa aandike barua kuomba samahani . Hata hivyo Mchange bado huko mchanga sana , hujui kitu na nyakati, haya mambo yana siku mbili, intelegencia ishafanya kazi kumwokoa Ze-Makambaz, ndio maana makamba alikuwa bize sana kuzuia mitandao ya uwazi kama huu, Tayari Mange Kimambi ana full Dish la kurusha ukweli wa mabishana hapo kati ya Tapel Mwanvita na Yeye na mausiano ya makamba ashakili kupokea fedha huko bumbuli baada ya kumwomba dada yake, hivi dadake ana biashara gani yenye faida mpaka anatoa mchango kiasi hiki. Hakika Februari ni JIPU litumbuliwe tu kama la OS.
 
Mange amejichanganya katika hili ndio maana watu wanasema tusikurupuke ktuongea mambo tusiyoyajua
 
Kiyunani!!
 
Hiyo barua yenu ni ya Mwaka 2006.

This time around, January Makamba utajamba na kunya hadharani.
Nkuba 25 hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
I can bet kuwa Huyu mgosi mwenzangu atakaa benchi. Inauma lakini naona Kama halikwepeki. Pole Mbunge wangu . Kaa pembeni ujipange upya . Uje kivingine
Atakwenda nigeria kukusanya masangoma na watasawazisha mambo yatapita tu,ni upepo tu
 
Nchi hii inavituko pamoja na watu wake ni vituko
 
nakwambia bado bichi kabisa halijaisha wewe subiri mwisho wa ngoma ni kupasuka, Makamba ngoma yake inapasuka karibuni
Aende kwao bumbuli akalime matunda mbona yanakubali sana huko?na azam fruits wapo kwa ajili yake
 
Mbona unaweka "h" sehemu ambapo hapastahili??

Tahaluma =taaluma
 
Hamna wa kumuamini hapa,sio mange,muitaliano wala makamba's wote wana ajenda binafsi
 
WAJINGA WATAAMINI MANENO YA MWISHO YA MTALIANO , WENYE AKILI TUNAJUA KAOMBWA AKANUSHE KWA KUPEWA ALICHOPEWA, KWANINI AKINA MAKAMBA WALIKIRI ILI HALI SIYO YA KWELI ?. MTALIANO KAPIGA DILI TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…