Wajua kuna watu wana hitaji kutumbuliwa.. Mtu kama huyu aliye leta utetezi hapa jukwaani ange stahili kuhojiwa na PCCB kwasababu inaonekana anahongwa kuja kuleta ujinga sehemu hii. Kweli mtu na akili yako una anzisha post ambayo haina hata muelekeo. Barua yenyewe anwani ya juu ime pastiwa nembo ya Freemanson. Means inatoka makao makuu. Haha. Hawa ni wa kutumbuliwa tu.Mkuu hata hizo emails za Neville hazina time stamps.
Eti 2 hours ago
Ha ha ha ha
Unajua unapokuwa mwana Propaganda shurti uwe smart kidogo
Tuwe tunasema ukweli kunogesha mjadala, Makamba hakukiri kupewa pesa na Mtaliano, anachosema alisaidiwa pesa za kusaidia Website ya Bumbuli na dada yake, hakujua dada yake kasaidiwa na shemeji, Kazungumza kwa kishwahili fasaha sio kilugha.Hivi kuna tofauti ya Zitto na Makamba? Hata aliyeleta uzi ni Mchange! Unakanusha nini wakati Makamba amekiri kupokea fedha na kumuunganisha na Waziri wa uchukuzi?
Mbona hiyo barua inaonyesha imeandikwa mwaka 2006?!!Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
Wabongo tumezidi kuishi kwa matukio na umbea umbea,haya sasa umbea wote sasa kwisha, tuchunge yale tunayo yaongea kabla ya kupalia makaa jambo ambalo huna ushahidi nalo.Wakuu.
mtakumbuka kuwa mwaka 2013 mwishoni, bila huruma, bila kujiuliza mara mbilimbili, mitandaoni kote, vijana kwa wazee walisimama kidete kumshambulia aliyekuwa naibu katibu mkuu wa chadema kipindi hicho ndugu Zitto Kabwe kuwa amehongwa mabilioni na wanaCCM kukihujumu chama chake.
jana kukazuka mjadala kama huo ulioanzia mitandaoni humu humu kumuhusu mwanasiasa kijana mwengine January Makamba safari hii huyu akihusishwa na dada yake kutumia vibaya madaraka na kujinufaisha mpaka kufikia kiasi cha kudaiwa kumdhulumu aliyeitwa muitaliano Vincenzo Nizzolino.
leo Raia huyo wa Italia Vincenzo Cozzolino aliyesababisha mtafaruku mkubwa jana baada ya kuvujisha mazungumzo yake kwenye mitandao ya kijamii na mpenzi wake wa zamani Mwamvita Makamba amejitokeza hadharani na kuomba radhi kwa kuihusisha familia ya Makamba na ufisadi.
Katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo mchana, Vincenzo amesema alifadhaika kutokana na familia ya Makamba kushindwa kumsikiliza baada ya ugomvi wao na kuongeza kuwa hakuwahi kutoa kiasi chochote cha pesa kwa January wala hakuwahi kumuomba amsaidie katika biashara zake. Pia amesikitishwa na kitendo cha Mange Kimambi kuingiza masuala ya siasa katika mtafaruku wake na Mwamvita. Kwa Habari zaidi, soma taarifa yake aliyoituma kwa Neville Meena, Mhariri Mtendaji wa Tanzania Daima hapo chini;.
ushauri.
kabla hatujahukumu, ni vema tukajiridhisha kwanza kuhusiana na tuhuma mbalimbali, hata kama tunawachukia namna gani watu waliotajwa.
wasalaam.
Tusikimbiane hapa Mkuu, hii Barua ya Mzungu inapingana hata na maneno ya Makamba Mwenyewe. Jmakamba amekiri wazi kuwa alipokea pesa kwa ajili ya Mfuko wa Bumbuli kutoka kwa Tapeli muuza Madawa ya Kulevya bado wewe hauoni kama ni shida kwa Mheshimiwa? Tusubiri uje uandike tena hapa hayo maneno yako ya kuwaona kila mtu anayepishana mtizamo na wewe ni BAVICHANiliweka comment mahali leo kuwa bavicha mmeichukulua hii ishu kusiasa zaidi kuongeza popular votes, ila nikasema MTAKUWA DISSAPPOINTED comes the 'end of this saga'!
Mjifunze kukubali msivyovipenda, na kama kweli ataongea kesho, mtamchukia huyu muitaliano!
Unategemea nini kwamba muitaliano aseme ni kweli alitoa mlungula?na yeye si angekuwa lupango kwa kutoa rushwa?Muwe mna acha umbea na ninyi!! Acheni wenyewe waende kwenye media watueleze ukweli