Ushahidi tuhuma za January Makamba

Huyo kapewa agizo tu!

Nakumbuka niliwaambia hapa msije kushangaa hata hiyo press confrerence inafutwa.
Tatizo nyie hamkulielewa gemu; ni hivi kwamba jamaa alikuwa anatishia tu kulipua kama hapewi chake sasa kesha pewa chake baada ya nyie kulicheza picha lilivyopangwa mnatarajia aendelee na nini tena wakati shida ilikuwa kupewa chake?
 
Barua yenyewe jipu....nayo inatakiwa kutumbuliwa...06/03/06 ndo nn sasa...???
 
Single ya february finito, tuhangaike na single ya secue sasa hahahahaha...
nakwambia bado bichi kabisa halijaisha wewe subiri mwisho wa ngoma ni kupasuka, Makamba ngoma yake inapasuka karibuni
 
Kweli huyu February Ana bahati kaloga mpaka taifa limepata habari ya kupooza ishu Yake mitandaoni kweli waganga noma kazi ya siku tu taifa limepata habari ya kuzungumzia Na pia sitashangaa mtaliano akianza kumponda mange
 
Watu wamekalia umbea wakisikia kitu wanakibeba juu juu bila kuchunguza...
 

Kwa ngeli hiyo kamanda........
Cc CleverKING.....
 
January Makamba ni kiongozi mzuri na mfano wa kugwa kwa vijana wengi, alikua na nafasi ya kufa ya haya enzi za JK lakin kutokana na weledi na mapnz yake akaiweka nchi mbele. Leo mjinga mmoja mwnye njaa asitugombanishe na viongozi wetu tuliowachagua kwa gharama na mapenz
 
kwa hali kama hii, ni vyema tukaruhusu wenye facts na evidences zaidi washindane kwa kuziweka hadharani.
mimi ni muhanga wa haya mambo ya kukashifiana na kushambuliana hasa mitandaoni...hivyo naenda kw step sana
Ile kesi yako ya kukwapua simu, nayo iliishia wapi? Una vimbwanga wewe!
 
February katika ubora wake ha ha ha....keshajibu mapigo...chezea February wewe....

Hayaaa.....movie bado inaendeleaa.....I wish kungekuwa na bunge dodoma afu kama namwona tundu lissu hivii!!

agggryyy scandal imekuja wakati mbay sana.
 
Waljua hatoweza kuweka mambo hadharani, hi ni too late
 
We have not hear from you.-Managing Editor.

Ile taarifa yake ya awali bado inaufanya uadilifu anaojipambanua nao utiliwe shaka.

Kuna kitu kimefanyika.



Hiyo tarehe kwenye barua imekosewa au ndo figisu figisu zenyewe?

06/03/06.
 
Taarifa ya mwanzo ni nzito zaidi kuliko hii ya pili. Wameshakiri kupokea fedha sasa wanatueleza nini tena,
 
tahaluma= taaluma
 
Niliweka comment mahali leo kuwa bavicha mmeichukulua hii ishu kusiasa zaidi kuongeza popular votes, ila nikasema MTAKUWA DISSAPPOINTED comes the 'end of this saga'!
Mjifunze kukubali msivyovipenda, na kama kweli ataongea kesho, mtamchukia huyu muitaliano!
 
Ha ha ha ha Mchange rudini Mkajipange upya.
Jamaa anasema kafahamiana na Dada 2009
Barua ina time stamp ya 06 (2006)

Ha ha ha ha a
 
Kumbe mleta uzi mi mchange, hamna kitu hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…