Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

Ushahidi na Maneno ya mwanaharakati mzalendo Mdude Nyagali UTAISHI MILELE ukisubiri siku MAHAKAMA ikiwa HURU na HAI

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,658
Reaction score
3,746
Katika jambo moja nitamsifu siku zote ni kuhakikisha alikuwa anadocument kila kitu alichopitia na kuwataja wahusika waliyo nyuma ya hayo matukio yote.
proxy-image5555.jpeg


Kuna mara nyingine alishare kupitia maandishi vitabu, posts za mitandaoni, mara nyingine alifanya kupitia Videos ambazo pia alishare mitandaoni. Hakutaka kuficha kitu jambo ambalo litaleta manufaa makubwa pale mahakama ukipata UHAI na UHURU.

Kama ulipitwa na umeanza kufuatilia siasa jana, usijione mnyonge, hii ni moja ya barua yake ya mwisho akielezea kikundi cha kikatili ambacho kinampango wa kumpora uhai wake.
IMG_1249.jpeg
 
Nenda mwamba. Kwa hali ilivyo sidhani ka uko hai man. Umekwenda boss ukiwa na kila aina ya sifa za shujaa na mpigania uhuru wa kweli. Uzalendo ,kujiamini na sauti ya mamlaka iliyo kitisho Cha madhalimu.
Nitakukumbuka man.
Nitakukumbuka man.
Nitakukumbuka man
 
Nchi yetu ni kipofu inamacho lakini haioni, masikio inayo lakini hayasikii...
 
Huyu chui alikuta simba wameshiba zao, wamepoa zao kwenye pride wakila upepo taratibu, huku wengine wakivuta usingizi kwa mbali, walichomfanya huyu chui haijulikani Wala haifahamiki alipo,

Chui ukikuta simba wametulia pita mbali wewe sio fisi
 
Back
Top Bottom