USHAHIDI: Kichwa cha treni kilichoanguka Kigoma ndo kilikuwa bandarini

Kwani kupata ajali kwa kichwa cha train na kuwepo bandarini au vile vya kutoka nje ambavyo Mh Rais alivitaifisha baada ya walioagiza kuingia mitini kuna uhusiano gani?

Train ngapi zimepata ajali toka kuanza kwake mwaka 1905 au ile TAZARA toka miaka ya 1976 huko yaani wabongo tunapenda sana maneno maneno tu ya kumchokoza mtu ili mradi aseme tu ndiyo furaha yenu.
Ww nawe, tuliambiwa mwenye vichwa hajulikan mara tukaambiwa wamekubaliana watauziane kwa bei nafuu wakasahau kuwa mwanzo walisema mwenye navyo hajulikan mpaka hapo kuna harufu ya kupiga hela kwakisingizio chakulipia vichwa vya tren huku ikijulikana shirika husika ndilo liliagiza kweli njia ya mwongo ni sawa na kula chakula shart ukanye
 
Hivyo vichwa vilivyookotwa bandarini vilishakabidhiwa kwa Jeshi la ulinzi, hivyo wakuu mnajadili vifaru vya jeshi hivyo shauri yenu! Mimi nimewatahadharisha yatakayowakuta mimi simo!
 
Duuh vifaru vya jeshi tena aseee hii hatari
 
Naitaji ushaidi wa icho unachokisema weka akilini mwako haitokaa itokee gari mbili ziwe na plate no zinazofanana kuanzia herufi mpaka no iyo iweke akilini haitokaa itokee kwa izi locomotive engine horse ziwe na no za utambulisho zinazofanana acha kuwa kama dr shika bhana
Hicho kilichoanguka Mbarawa amesoma 1006 sasa wewe ankai unasoma kilichosimama 9001....,

Hiyo ruhusa ya kuwapinga mitume wa Mungu wa Tz ni nani...???

Endelea...
 
Ni kweli haya mambo yanaipunguzia CCM popularity lakin ni kweli piai hayatusaidi kushika dola.

Tunatumia nguvu na muda wetu mwingi sana kujadili haya mambo na tunasahau kabisa kujadili na kuwekwa mikakati ya kukabiliana na vikwazo vya kuwa na uchaguzi huru,katiba mpya,n.k.
.
Juzi tulijadili expansion joint,jana tukajadili kuibiwa katika uchaguzi wa Siha na Kinondoni,leo tunajadili vichwa vya treni na kesho sijui tutajadili nini.

Swali ni je,mambo haya pekee yatasaidia kuitoa CCM madarakani?Yatasaidia sisi kushinda uchaguzi?Yatafanya tuwe na uchaguzi huru na wa haki?Yatasaidia kufanyika uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, n.k?

Haya mambo tuyajadili na kuyaongea sambamba na kuchukua hatua ambazo zitasaidia kuishinda CCM katika uchaguzi ujao na hivyo kuondoa mambo yote hata ya hovyo hovyo katika nchi yetu.

CCM wamefeli katika swala zima la kuchagua, kuweka na kusimamia vipaumbele vikuu vya Taifa hili; wapinzani, kwa upande wetu, tumefeli kabisa katika swala zima la kuweka na kusimamia agenda kuu zitakazodaisia kuiondoa CCM madarakani.
Kwahiyo hujuma zipete tu, kwako ni sawa.
 
Hicho kilichoanguka Mbarawa amesoma 1006 sasa wewe ankai unasoma kilichosimama 9001....,

Hiyo ruhusa ya kuwapinga mitume wa Mungu wa Tz ni nani...???

Endelea...
Aaaah nimeielewa code yako mkuu pamoja sana na kweli mungu wa tz na mitume wake hawapingwi
 
Acha uongo wewe! Nani alikudanganya hivyo vichwa vilitaifishwa? Unataifisha vipi mali ambayo shirika la umma TRL ilishalipia 71 billions shillings tangu 2013!?

Kwani kupata ajali kwa kichwa cha train na kuwepo bandarini au vile vya kutoka nje ambavyo Mh Rais alivitaifisha baada ya walioagiza kuingia mitini kuna uhusiano gani?

Train ngapi zimepata ajali toka kuanza kwake mwaka 1905 au ile TAZARA toka miaka ya 1976 huko yaani wabongo tunapenda sana maneno maneno tu ya kumchokoza mtu ili mradi aseme tu ndiyo furaha yenu.
 
Ni kweli haya mambo yanaipunguzia CCM popularity lakin ni kweli piai hayatusaidi kushika dola.
.....................
CCM wamefeli katika swala zima la kuchagua, kuweka na kusimamia vipaumbele vikuu vya Taifa hili; wapinzani, kwa upande wetu, tumefeli kabisa katika swala zima la kuweka na kusimamia agenda kuu zitakazodaisia kuiondoa CCM madarakani.

Bila ya kuyaanika haya sisi tukayaona, wapinzani tufanyeje? Kila kukicha kupigwa, kufunguliwa kesi za kubambikizwa ili watu wawe waoga. Nina imani kwamba kwa ku expose uozo bila kuuficha wanachi watajua kwamba walivyoambiwa vichwa vya teni havina mwenyewe kulikuwa kunatafutwa kiki ya kisiasa.

Taratibu mengi yanakuja - unafikiri watu hawajui kwamba kwnye Bombadier tumekwisha liwa na whistle blower walitaka kumtoa duniani ila Mungu akaweka kinga? Dreamliner inakuja lini vile?

Wapinzani sasa hivi wanarubuniwa na kutishwa ili CCM wawe wengi bungeni to pave way for the current chairman to rule for ever, Mungu pisha mbali.
 
Mbona watu walivyouawa Kibiti hamkusema leo treni imedondoka mnasema.........nawaza kama Dr.Mahiga,utadhani wanajipikilisha kumbe ndio cabinet. Hii ni cabinet au cabinenga?
 
Hakika hicho kichwa cha train kiliokotwa maana mara chache sana kuona kichwa cha train kinapinduka
 
Unaelewa maana ya neno "sambamba"?

Hoja yangu ni kuwa,pamoja na ku-expose madudu haya,tu-focus pia katika mambo yanyokwamisha upinzani kushinda uchaguzi.

Ku-expose pekee hakutoshi.
Bila ya kuyaanika haya sisi tukayaona, wapinzani tufanyeje? Kila kukicha kupigwa, kufunguliwa kesi za kubambikizwa ili watu wawe waoga. Nina imani kwamba kwa ku expose uozo bila kuuficha wanachi watajua kwamba walivyoambiwa vichwa vya teni havina mwenyewe kulikuwa kunatafutwa kiki ya kisiasa. Taratibu mengi yanakuja - unafikiri watu hawajui kwamba kwnye Bombadier tumekwisha liwa na whistle blower walitaka kumtoa duniani ila Mungu akaweka kinga? Dreamliner inakuja lini vile?
Wapinzani sasa hivi wanarubuniwa na kutishwa ili CCM wawe wengi bungeni to pave way for the current chairman to rule for ever, Mungu pisha mbali.
 
Ni kweli haya mambo yanaipunguzia CCM popularity lakin ni kweli piai hayatusaidi kushika dola.

Tunatumia nguvu na muda wetu mwingi sana kujadili haya mambo na tunasahau kabisa kujadili na kuwekwa mikakati ya kukabiliana na vikwazo vya kuwa na uchaguzi huru,katiba mpya,n.k.
.
Juzi tulijadili expansion joint,jana tukajadili kuibiwa katika uchaguzi wa Siha na Kinondoni,leo tunajadili vichwa vya treni na kesho sijui tutajadili nini.

Swali ni je,mambo haya pekee yatasaidia kuitoa CCM madarakani?Yatasaidia sisi kushinda uchaguzi?Yatafanya tuwe na uchaguzi huru na wa haki?Yatasaidia kufanyika uchunguzi huru wa tukio la Lissu kupigwa risasi, n.k?

Haya mambo tuyajadili na kuyaongea sambamba na kuchukua hatua ambazo zitasaidia kuishinda CCM katika uchaguzi ujao na hivyo kuondoa mambo yote hata ya hovyo hovyo katika nchi yetu.

CCM wamefeli katika swala zima la kuchagua, kuweka na kusimamia vipaumbele vikuu vya Taifa hili; wapinzani, kwa upande wetu, tumefeli kabisa katika swala zima la kuweka na kusimamia agenda kuu zitakazodaisia kuiondoa CCM madarakani.
Mambo yote 26/4
 
Unaelewa maana ya neno "sambamba"?

Hoja yangu ni kuwa,pamoja na ku-expose madudu haya,tu-focus pia katika mambo yanyokwamisha upinzani kushinda uchaguzi.

Ku-expose pekee hakutoshi.

Opposition is suppressed here and doomed to be wiped out of the party's register. Unless you're suggesting a warfare. That is the only way out - CCM walishasema hawawezi kuachia nchi kwa kipande cha karatasi.
 
Kwani kupata ajali kwa kichwa cha train na kuwepo bandarini au vile vya kutoka nje ambavyo Mh Rais alivitaifisha baada ya walioagiza kuingia mitini kuna uhusiano gani?

Train ngapi zimepata ajali toka kuanza kwake mwaka 1905 au ile TAZARA toka miaka ya 1976 huko yaani wabongo tunapenda sana maneno maneno tu ya kumchokoza mtu ili mradi aseme tu ndiyo furaha yenu.

Mkuu vilitaifishwa na Rais wa nchi ngani? vilitaifishwa lini na wapi? . Wewe hauko mzima kichwani
 
Bila ya kuyaanika haya sisi tukayaona, wapinzani tufanyeje? Kila kukicha kupigwa, kufunguliwa kesi za kubambikizwa ili watu wawe waoga. Nina imani kwamba kwa ku expose uozo bila kuuficha wanachi watajua kwamba walivyoambiwa vichwa vya teni havina mwenyewe kulikuwa kunatafutwa kiki ya kisiasa. Taratibu mengi yanakuja - unafikiri watu hawajui kwamba kwnye Bombadier tumekwisha liwa na whistle blower walitaka kumtoa duniani ila Mungu akaweka kinga? Dreamliner inakuja lini vile?
Wapinzani sasa hivi wanarubuniwa na kutishwa ili CCM wawe wengi bungeni to pave way for the current chairman to rule for ever, Mungu pisha mbali.

Huyo mwandishi akidakwa aliyepiga hzo picha anapigwa na kitu chenye ncha kali kichwani
Hii habari ni fake hivi vichwa vilishaonekana huko nyuma vikiitwa train ya mwakyembe. Vichwa hivyo vilishaonekana mwaka 2016 tatizo ni kwamba picha za vichwa vilivyo bandarini namba zinanzia 9014 na kuendelew.
 
Acjs uvivu mkuu jaribu kujofikirisha ata kidogo basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom