Ushahidi huu unatosha kumtia mke hatiani... FEEDBACK! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushahidi huu unatosha kumtia mke hatiani... FEEDBACK!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kapotolo, Sep 8, 2012.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Ndugu wana MMU, asanteni sana kwa michango yenu na ushauri wenu mbali mbali ambao mlimpatia kaka yangu juu ya sakata la mke wake katika huu uzi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/310573-ushahidi-huu-unatosha-kumtia-hatiani-mke.html.

  Kaka yangu pamoja na mambo mengine ameufanyia kazi ushauri wenu na wa watu wengine wa karibu, ndugu na jamaaa na viongozi wa dini na amefikia uamuzi mgumu wa kutengana na mke wake. Mpaka sasa wameshatengana na anasubiri taratibu nyingine za kimahakama ili ndo ivunjwe rasmi. Amechoshwa na tabia hiyo ya mke wake. Cha kushangaza siku wanatengana mke hakutoa hata chozi kuonyesha kujuta.

  Narudia tena asanteni wote kwa maoni na ushauri wenu Mungu azidi kuwaongoza katika kujenga zaidi ndoa za watu, ingawa kwa hii kwa kweli kuvunjika was inevitable.
   
 2. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,325
  Likes Received: 2,319
  Trophy Points: 280
  Tunashukuru kwa feedback.....sasa atullie asikimbile kuoa tena mapema, atafakari kwanza
   
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Pole sana mkuu. Maisha ni mchakato. Jipange na kuanza upya. Kwa vile hakuna ajuaye mwisho, naamini utafika salama.
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wanasema bibi na bwana wakigombana, chukua jembe ukalime (mie vile sina shamba huwa naenda saluni kupiga umbea!). Usishabikie, wanandoa huwa hawaachani kirahisi hivi. Hadi waachane mara kadhaa na krudiana ndo wanafunga chapter. Be neutral, waache wafanye maamuzi yao manake kushauri umeshamaliza.
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  leo huavi leggings kwenda salender bridge??

  Atashangaa kuwakuta wanatongozana gizani baada ya kuachana.

   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280
  kapotolo
  pole sana sana mkuu ingawa wanasema kila chenye mwanzo akikosi kuwa na mwisho loh sio huo
  usishangae mwanamke kutotoa machozi maana alipovishwa pete akutoa chozi so akuna jipya ..heshimu wanaotoa chozi wakati wa kuvishw pete sio hawa wa kutengana na makaratasi..labda kinachotuumiza wanaume ni kujua kusudi la kuoana...na hili linapekea wanawake wengi sana kuchezea uume wetu na kuupima sehemu zao za siri kama mafuta ya bp.......binafsi naona imechukua haraka kuachana labda ujue mungu alikuja duniani kuokoa wale waliopotea..sasa basi kama kaka yetu ningemshauri achukue tatizo la mwenzake alibebe amlilie mungu ...akuna aliemfwata mungu akaaibika kaka...wapo wanandoa wenye ushahidi walioaana baada ya mwezi wakaanza kurudi nyumban kila mtu mida yake 3 yrs leo wanamtukuza mungu na wengine wazee wakanisa sisemi lazima awe wa kanisa anaweza kuwa hata mzee wa jf ...kama wito ila asimame na mungu amuulize mungu kusuudi la kumuoa huyo binti lilikuwa ni nini pengine mungu kampeleka kwa ke ili akamsaidie matatzio yake sasa mungu anaona unapokimbia jukumu alilokupa anakupelekea katapila unakumbana nalo unakumbuka ulipotoka ..sisemi wafanye bcb haaa haa achukue mungu aombe rehema kwa mungu amsamehe najua kwa matatizo yote hauyo lazima atakuwa amepita nje ya ndoa kupunguza zile protini sasa lazima ukimkaribia mungu uwe safi aombe rehema asome nehemia 1:yote ..alafu aeleze matatzio yake 7 days ..mungu si petero wala mwana kitongoji bana mungu anaskia kaka narudia tena polen sana sana ni wakati mgumu ambao naujua na kuuelewa nini uchungu usiniulize zaidi
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Daaah hapa kuna ukweli maana kuna jirani yangu waliacha na mkewe tena kwa ugomvi mkubwa na ilikuwa imepita miaka mitatu sasa! Na hakuna aliyetarajia hawa watu wangeweaza kuongea hata mimi sikutegemea maana mtiti ulikuwa si wakitoto!

  Mungu si Athumani juzi ni kawaona bar fulan wako pamoja wanakunywa na kucheka, kwakweli nilibaki kinywa wazi!

  Unayosema yanawezekana kabisa!

   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Ni kweli Komando. Thamani halisi ya kitu huwezi kuijua hadi ukipoteze. Ndo maana wazee na busara zao wakaja na process mbili muhimu, kutengana na kisha kuachana. Hawa inawezekana wametengana tu. Time is an undoubted answer!
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280

  Hehehe, mie leggings ndo vazi la wknd, manake toka Paw aliponisifia milonjo yangu ina colour nzuri japo minene kama toothpick, najidaije? Sivai tena madera!
  Wapenzi bwana, mtu akikulalamikia mpe moral support afu chomekea sentenso za 'lakini endelea kumuombea Mungu ataingilia kati. Unajua mmetoka mbali'. Bila hivyo, wakitongozana anaambiwa 'kama sio king'asti kunidanganya....'
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mie shosti alifanyiwa kituko cha mwaka na mumewe na familia nzima ya mumewe. Akatimka, ananiambia naenda nchi za mbali kwa dadangu. Nikamuambia dadake, huyu muambie aende tu kwa mama yenu akake 3 months, manake wanavyopendana hawa na ujinga wao utachezea nauli. Ikapita miezi sita naambiwa dada karudisha timu kwa masharti yale alioyakimbia!
  Kwa sababu mie nilikuwa neutral, hadi leo tunakaa na shemeji langu tunakula maisha kwa raha zetu.
   
 11. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Na kweli babu, busara zenu muhimu hapa. The Boss anaitaga space. Hakuna kutengana wala kupeana tangazo. Ukiona hapaeleweki unajitaftia kozi ya 3 months away, ukiwa huko utaona kasi kama unachumbiwa upya ama gap linazidi. Ukirudi aaah, maamuzi kichwani. Kama unasuka, unanyoa ama unapakaa mafuta wembe uteleze,lol
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #12
  Sep 8, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Kweli ugomvi wa wapenzi hautaji refa!

   
 13. afrique

  afrique JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 495
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  bravo pdidy ka ushauri mzuri,ila unge anzia na herufi kubwa unapoandika MUNGU
   
 14. Kijakazi

  Kijakazi JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 3,546
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 135
  Halafu eti jamaa ni Daktari, Duh kweli ndio maana wakienda Ulaya au nchi nyingine kama Marekani hawaruhusiwi kumtibu mtu mpaka wafanyiwe IQ test!

  Wewe Daktari halafu unashindwa kutatua matatizo yako mwenyewe tena ya kifamilia mpaka upeleke kwa watu wengine? sasa hizo Research zenu mnafanyaje, manake ninanvyofahamu ili uweze kufanya utafiti na kuja na jibu la kitu fulani unahitaji uelewa na utulivu pamoja na utulivu wa hali ya juu!
   
 15. byembalilwa

  byembalilwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 1,538
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  mganga hajigangi ok!
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  :flypig::flypig::spy::A S 465::A S 465::nerd:
   
 17. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #17
  Sep 8, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Siyo kweli Kijakazi,

  Hakuna genius wa mapenzi....

  Omba Mungu tu yasikukute!

  Babu DC!!
   
 18. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #18
  Sep 8, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ningeshangaa sana kama kakaako asingechukua huu uamuzi cuz kila kitu kilikuwa open wazi..
   
 19. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #19
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,505
  Likes Received: 5,736
  Trophy Points: 280
  mkuu MOD ATUSAIDIE HILI KILA NIKIANDIKA HERUFI KUBWA NIKITUMA INAKUWA NDOGO...
   
Loading...