The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Mi ni mwanamke lakini siku ntakapoamua kufanya maamuzi magumu hao 'wazee' watapewa taharifa tu wala wasitegemee mimi kuwaomba ruhusa.
nakuaminia lol
Mi ni mwanamke lakini siku ntakapoamua kufanya maamuzi magumu hao 'wazee' watapewa taharifa tu wala wasitegemee mimi kuwaomba ruhusa.
Ushahidi mbona ni mwiingi mno?
anataka ushahidi upi hapa?
Labda bado anasubiri mke akiri kwa kinywa chake kuwa kweli alikuwa anaonjesha onjesha uroda kama karanga!!
Nimechoka mwenzenu mie....!!
Babu DC!!
halafu anaona ni sifa kuuliza uliza watu na kuitisha vikao
kumbe anazidi kujidhalilisha
badala ya kuchukua uamuzi wa haraka na kulimaliza
Umeona na wewe ndugu yangu The Boss??
Eti ana ushahidi kama huu, halafu anaenda kumuuliza baba mtu...Kama siyo kumtia kichefu chefu ni nini?? Tena ana bahati sana, baba wa watu alimjibu kwa busara..May be ningekuwa mie, ningemtemea mate usoni!!
Ndo maana tunasema kuwa Real African men siku hizi ni bidhaa adimu!!
Babu DC!!
ni bidhaa adimu kweli aisee
Kaka hii ni ndoa lakini, sio rahisi kama unavyosema, lakini nimekuelewa.