Ushahidi huu unatosha kumtia hatiani mke!!

Ushahidi huu unatosha kumtia hatiani mke!!

cjasoma yote sababu ni ndefu sana...lakini hakuna mke hapo jamaa aliooa changu mkuu!
 
Ebwana mleta mada mwambie kakaako ushahidi alionao unamtosha sana kufanya maamuzi..na sio maamuzi tu bali maamuzi magumu. Kwa namna yeyote anavyojisikia mwenye mke ni tofauti na watu wengine..ndio maana unamuona yeye kachanganyikiwa na hao wazee wako poa tu!. Kwnye maamuzi yanayohusu mapenzi mara nyingi lazima kuusikiliza moyo wako kabla ya kushauriwa na watubaki!

Binafsi hata minong'ono tu kwangu ni ushahidi wa kufanyia kazi na unatosha kunipa pa kuanzia. Sembuse ushahidi wa kimazingira pamoja na baadhi ya watu kukiri. Hebu mwambie auteme huo mzigo kabla hajaitwa mume b.w.e.g.e!!
 
Mfupa ulio mshinda fisi mba hauwezi daimadumu.Wenzake walimtia mimba na kumwacha yeye alidhani kapata ee.Lakini maisha ni changamoto.Liwalo na liwe.
 
ianonyesha kaka yako ni bushoke aiseee..mwambie aendelee kuwa ivyo aone mwisho wake
 
mpe pole sana kaka yako ila pole pia na wewe. kwanza nataka kujua kaka yako ni wa imani gani? wa jumapili au ijumaa? kama ni wa jumapili hapo kidogo pagumu mana hakuna talaka kwa upande huo, japo pia kama ni wa ijumaa ugumu pia upo, mana kwa wale wa ijumaa sheria inasema kuwa kama unamtuhumu mkeo kwa zinaa ni lazima wapatikane mashahidi wanne ambao wameshuhudia live bila cheka kisu kikiwa kimetumbukia kwenye ala,sio kukuta tu watu wamekumbatiana au kubusiana. ila kuna kitu cha msingi hapa ambacho kaka yako anaweza kukitumia,huu ushahidi ni wa imazingira na yatosha kwake kujiridhisha kuwa mkewe ana dalili za usaliti japo HAJACOMFERM 100%, mimi nashauri AMUACHE kwa kuwa ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa mkewe si muaminifu. ila pia anaweza kutumia mbinu moja,atengeneze mazingira ya kujifanya amesahu na kusamehe yote na ajaribu kujifanya yupo normal kwa lengo la kufanya uchunguzi kimya kimya. hapo atapata nafasi nzuri kwani mkewe anaweza akaona kuwa jamaa keshasamehe na hivyo akaendelea na kamchezo kaka ka chaja ya kobe, hapo itakuwa rahisi kwake kukusanya data
 
Yeye anachosubiri ni mpaka afumanie mwenyewe ndio ajue hiyo tabia ya mkewe? Kikubwa ni kuwa ili ufanya decision yeyote ni vizuri kuwa na information za kutosha, na kwa maelezo yako inaonekana kaka yako ana habari za kutosha isipokuwa hana uwezo wa kufanya maamuzi magumu.
 
Kwangu mimi, sioni kati ya matukio yote hayo aliyofanya mwanamke hakuna lenye ukweli. Lazima alikuwa na matatizo ya kugawa unyumba akiwa chuoni. Si mwaminifu. Ile kuzungukwa na kashfa zote hizi, inatosha tu kumtosa. Jamaa ampige chini. Hajachelewa!!
 
inaonesha huyu shemeji yako atazaa hata watoto wanne kila mmoja na baba yake.
 
kuhusu manesi kuwa loose no!!huyo kaka yako kawekwa ndani ya chupa muombee atafunguliwa.pili possible hamtoshelezi wanaume 3 at the same time???hilo ni pepo tena lina minyoo halishibi.hafai
 
mimi sijui kuongea sana nikishakuwa na ushahidi. Namtimua mwanamke. Wazazi watapewa taarifa tu. Mwanamke akigoma kuondoka nabeba vyangu naenda kuanza upya maisha.
mwambie kakaako aachane na huyo mwanamke fasta.
 
naomba nitangulize pole za dhati kwa bro wa mtoa mada...
alafu kwa sisi wa J2 maandiko yanatuagiza kutumia akili kwa kadiri ipasavyo...kwa habari jinsi nilivyoisoma hakuna haja ya kutafuta ushahidi mwingine na hakuna haja ya confirmation au action kutoka kwa "wazee" since mwenye mke ni yeye na sio wazee. yeye ndiye anayepata maumivu wengine wooote tunafanya kuempathize tu,so my honest opinion, amuweke mwanamke KANDO akajifunze maana ya ndoa huko nje.
kuna mtu juzi kati alileta thread design kama hii nikamwambia "It stinks even more when a woman cheats than when a man does it, don't ask how coz na mie nimeyakuta hayo"
huyo mwanamke kwa kuanzia tu, kaja na historia (mtoto) ambayo hiyo tu ingetosha kufanyiwa uchunguzi if possible (please dnt quote me wrong, I dnt mean kuwa wanawake wenye watoto hawastahili kupata love tena na kuolewa). my point is ingefaa sana kuwe na data zinazoeleza kwanini huyo mke aliachwa na mwanaume aliyemzalisha? labda mainfidelity yalianzia huko!
i understand bro wako alimpenda sana shemeji yako ila ndio hivyo keshamulika mwizi, waseparate. kuendelea kukaa naye kunaweza kumuongezea stress ambazo zinaweza kumpelekea kaka yako kufanya kitu hakuwahi kupanga kufanya...amtimue tu kuepusha shari...
 
kitumbua kikiingia mchanga huwa kinatupwa...full stop
 
Aisee Hiyo Kali ya mwaka,kaka baba wa familia inauma sana,heshima ndo muhimu,mwambie apime mwenyewe kuska au kunyoa usimwabie wewe kuachana nae coz kuna jamaa alimkuta mkewe live,akamwambia vaa mke wangu twende home na usirudie tena,ukimwambia aache wakipatana huna chako hata sumu utalishwa
 
Back
Top Bottom