Ushabiki Gani sasa Huu!!!!

Ushabiki Gani sasa Huu!!!!

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
a.jpg
Kweli mashabiki wa bongo wamepinda
 
Mbona huyo wa kulia ni mwanachama wa chama fulani cha SIHASA!
 
aa.jpg
wanapokezana chupi ya ke yenye rangi ya watani zao
 
aaa.jpg
masikini wamekubali utumwa wa kubeba bendera ya wenzao/kubadili rangi ya bendera yao
 
nilisikia kuwa jana waliondoka dk 10 kabla mpira haujaisha. sijui hizo chupi waliziweka wapi. Tunafurahi lakini kuna meseji ya udhalilishaji mkubwa hapo wa ile jinsia nyingine
 
hio chupi waliivaa wao na shanga wakavishwa kisha waka........................, hayo ni matusi ila kwa jana wamekalia.
 
Kwa nini hiyo chupi ni ya 'kike'!? Kuna ujumbe gani behind hiyo chupi?
 
Very poor judgement... We are allowing these things, tomorrow he will come with a vibrator and then we will condem
 
I dont support this kind of ushabiki bana! ni upunguani unaoonyesha jinsi gani Watanzania wanavyokosa uzalendo! nina imani hata Setif walishangaa mbona watanzania wengi hivyo wanawashangilia!
nakumbuka ile siku Chelsea inacheza na Napolli...nilifuatilia thru Twitter messages za wachezaji wengi wa kalbu za uingereza..for that moment, wote walikuwa wanaisupport Chelsea, regardless their teams, bila kujali kama walitolewa wao, bila kujali kama wakiwashangilia it will mean Chelsea ndo timu pekee ya England in the CL!
Watanzania bado hatujastaarabika kwenye ushabiki..inasikitisha!
...na hapo sijaangalia uhuni ambao umekuwa ukifanyika kwenye most of these recent matches..its a big shame!!!
 
Hawa Yanga bladifakeni kabisa.....
hehe..nao watakuja watasema, 'simba ndo walianza'..tusianze kutajana majina...wote tuna makosa...timu zote (esp. Yanga n Simba)...tubadilike!!!
 
hizo ndizo shamrashamra za mpira. na huu utani wa jadi ndio msisimko katika soka letu la bongo
 
Back
Top Bottom