Cantalisia,
Mimi tabia ya kuwahi eneo la tukio na kukaa mahala ambapo sipo ilikuwa inanisaidia sana, kwa mfano unamwambia upo kwenye counter kumbe ukakaa ndani ya gari hushuki unaangalia tu pale mahali.
Lakini mimi zaidi nilifanya kiusalama coz unaweza kuwa unawasiliana na binti kumbe ana kijeba chake kinastukia kinapokonywa simu wanakuja wote halafu inakuwa balaa bin valangati :lol::lol:
embu watu rudini na ID zenu za Darhotwire,
PapaK kasharudi, wengine vipi??, hakika inawezekana watu wengi tunafahamiana humu, basi tu
kiukweli nilikuwa napenda nijuane na wana jf japo wawili watatu,nikutane nao tutie story ila sio kimapenzi.lakini kwa hali hii,bora nisijuane na mtu humu.tutaishia humu humu.wengine kazi kuchorana tu
Firstlady,
Mi mwenyewe nimembaini dogo mmoja kijana wangu wa ofisini sasa hivi namchora tu, anapenda kweli kuja humu MMU na jina lake namjua nakuwa makini sana asinikamate na mimi :lol:
Hii kwa wanume ni nzuri kubaki ndani ya gari usikilizie situation imekaaje maana,Cantalisia,
Mimi tabia ya kuwahi eneo la tukio na kukaa mahala ambapo sipo ilikuwa inanisaidia sana, kwa mfano unamwambia upo kwenye counter kumbe ukakaa ndani ya gari hushuki unaangalia tu pale mahali.
Lakini mimi zaidi nilifanya kiusalama coz unaweza kuwa unawasiliana na binti kumbe ana kijeba chake kinastukia kinapokonywa simu wanakuja wote halafu inakuwa balaa bin valangati :lol::lol:
aisee kumbe weengi humu mnaanza ku kiri lol
Boss,
Hiyo zamani bro wakati bado tupo kwenye game kwa sasa tumestaafu tupo kwenye benchi la ufundi.
Hii kwa wanume ni nzuri kubaki ndani ya gari usikilizie situation imekaaje maana,
Mie nilidanganya mpaka nguo nilizovaa na nilipokaa,
Ndio maana hata nilipopishana naye hakunistukia,
Haya mambo yanahitaji umakin sn,bora kujuana kwanza hata kwa picha za fb ndio mambo mengine yafuate.
Tena wee ni lazima nikuone.... Jinsi nlivyokutongoza afu ukanikubalia then ukanipiga kibuti....sikubali asee....Ndio maana ni bora kuto onana kabisa! lol
wana jamvi,
hivi inakuwaje pale ambapo umekutana tu na binti hapa ndani uka flirt naye mnazinguana sana pm, yaani mshaongea ujinga ujinga kibao mwisho mnaamua mkutane ana kwa ana.
Hamad!!! Unakuja kukutana na subordinate wako wa ofisini ambaye mnaheshimiana sana ana kwita boss na ni sehemu ya timu yako mnafanya kazi kwa karibu na huwa unamuwekea uso wa mbuzi ofisini ukijidai eti upo serious hutaki ujinga ujinga.
Dah utafanyaje mwana mmu?
Tena wee ni lazima nikuone.... Jinsi nlivyokutongoza afu ukanikubalia then ukanipiga kibuti....sikubali asee....
mbona kama unanitonesha kidonda? Ilinitokea hii, sitaisahau. Ila nimeapa sintakuwa tayari kukutana na yeyote
zamani sana aisee
siku hizi i dont flirt with strangers lol
Boss na wale ambao hawana account facebook huko watakuwaje
Hahahaha,Cantalisia,
Uwe unakumbuka pia kuweka simu yako kwenye silent mode maana inaweza kuku betray.
Tena wee ni lazima nikuone.... Jinsi nlivyokutongoza afu ukanikubalia then ukanipiga kibuti....sikubali asee....
Ati?:shock::A S embarassed::hatari::rant:
Dah!!! Shem....
Sweetie you know lakini kua he is sick in his head eeeh?
Hahahaha,
Mkuu ishu ya silence ndio style ya maisha yangu aisee,
Hiyo kweli inaweza haribu mpango mzima lol!
Kuna rafiki yangu ana simu yake ya mchina huwa haina silent mode,
Tulikua tukiingia lekcha anaizima na kutoa betrii kbs,
Ikabidi nimuulize kwann anatoa betrii,
Asema hiyo cm hata akiizima mtu akipiga inajiwasha yenyewe na kuanza kuiita na ivo haina silen mode ndio kbs inaharibia pozi,
Nilicheka sana!!