mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane
The Boss nashukuru kwa kunipa hii akili maana.......!mimi nashauri watu kabla ya kukutana
muende facebook kwanza
muonane sura zenu,majina yenu kamili
utazame na friends list yake usije kuona
anamjua mkeo,mumeo.mama yako,boss wako...
ukiwa clear ndo muonane
Boss na wale ambao hawana account facebook huko watakuwaje
Tatizo la Face book nalo ni hili.... Yule anaeitwa Andongolile Papakua anabadili jina kuenda Andy Papak ili li sound better.... Picha anaweka ambayo yupo ten years years younger or imefanyiwa photoshop 90% change of the real person.... lol
The Boss nashukuru kwa kunipa hii akili maana.......!
Nimeshaanza kuiaply hope itanipa ujasiri flan!
hapo kuwa makini
usi flirt hadi unamjua kwanza
Hahahah...:lol::lol::lol: lol...kumbe ulianza zamani?
Tatizo la Face book nalo ni hili.... Yule anaeitwa Andongolile Papakua anabadili jina kuenda Andy Papak ili li sound better.... Picha anaweka ambayo yupo ten years years younger or imefanyiwa photoshop 90% change of the real person.... lol
washangaa nini? nikushanagae wewe kwanza!!Mungu wangu! huyu kaja huku!? mmh!
Inaweza ikatokea hivyo, unaweza ukawa unachat na dada yako au mama, baba, n.k. Suala ni kuwa makini tu.....!
hahaha unaweza kukuta ni boss wako mnatizamana meza kumbe kila mtu katoa info za uongo
Hahahahahbasi anza kunitumia facebook id yako
pm nikutazame
usije kuwa nanihii lol
wewe hapo tazama friendlist na wapi alisoma
ukiona hupati jibu ujue fake
achana nae
Wifi unaniponza ujue! Nimecheka sana! Papak,lol
Ndio maana ni bora kuto onana kabisa! lol
Rubuye hukuuliza jina na ukoo na ametokea wapi na wazazi wake ni nani na nani kabla ya kufunuana nguo
haya mambo ya kwenda mitaa ya home halafu unajipachika sehem eti kupoteza maboya ni mbaya sana
Mr Rocky,
Unamuuliza jina ukoo demu wakati ndio mmekutana kutana tu? si atakuona mnoko ka mgambo wa jiji