Usha flirt naye sana

Thats my girlie.... Yaani ni wewe tu umebakia, ni wewe tu kunipa joto la faraja. Nikupe zawadi gani hun? Ukimwona shem wangu mwambie am about to loose my temper. And thats too bad for her health

Yaani nime ku quote kwanza umenipuuza na kumuona Michelle peke yake? Umezila? lol
 
Ndio maana utaratibu wako wa "kukagua" haujawahi kuhojiwa popote kwenye katiba yetu. una manufaa yake aisee😛oa
Sasa huoni kuwa katiba yapaswa kulitambua hili? Amendments or whatever....
 
Mkuu, tunasubiri mistari kule, hapa naona unatafuta visababu.....!

Mkuu tunahitaji gari la kampeni ya mdogo wetu,akishaupata ubunge tuzungumzie kuhusu sharing ya mafao!
 
Thats my girlie.... Yaani ni wewe tu umebakia, ni wewe tu kunipa joto la faraja. Nikupe zawadi gani hun? Ukimwona shem wangu mwambie am about to loose my temper. And thats too bad for her health
zawadi ninayoipenda ni ile ya kukaa karibu na babu na kupata joto lake huku tukipiga story za hapa na pale....am here for you, do not loose your temper!

Yaani nime ku quote kwanza umenipuuza na kumuona Michelle peke yake? Umezila? lol
Hajazila kazimeza nzima nzima,ndo nini kuwa mkali kwa babu dearest??
 
Mkuu, tunasubiri mistari kule, hapa naona unatafuta visababu.....!

Mkuu tunahitaji gari la kampeni ya mdogo wetu,akishaupata ubunge tuzungumzie kuhusu sharing ya mafao!

Aise kabla ya kuleta mashairi ngoja kwanza nijiulize kama ninatimiza viggezo
Maana naona bado sijakamilisha vigezo ndo niweze kuleta mashairi
AshaDii atanisaidia kidogo kufafanua ila nikileta shairi hapa vigezo na masharti kuzingatiwa
 
hao wa hivyo wanawataka kina pedeshee 'ndama mutoto ya ng'ombe'.....amin nakwambia....
 
zawadi ninayoipenda ni ile ya kukaa karibu na babu na kupata joto lake huku tukipiga story za hapa na pale....am here for you, do not loose your temper!
Hajazila kazimeza nzima nzima,ndo nini kuwa mkali kwa babu dearest??

Huyo jeuri kwa shemeji zake... Unafikiri ndio nyie wajukuu anawadekeza.... hivo hua namkomalia tu! lol
 
zawadi ninayoipenda ni ile ya kukaa karibu na babu na kupata joto lake huku tukipiga story za hapa na pale....am here for you, do not loose your temper!

Hajazila kazimeza nzima nzima,ndo nini kuwa mkali kwa babu dearest??
Quote of the decade! Babu ameiprint hii na kuiweka kwa shelf ya moyo wake. Na unapowekwa kwa shelf ya moyo wa ODM you automatically become his property. All right reserved!
 
Mkuu, tunasubiri mistari kule, hapa naona unatafuta visababu.....!

Mkuu tunahitaji gari la kampeni ya mdogo wetu,akishaupata ubunge tuzungumzie kuhusu sharing ya mafao!

hii inaitwa 'gari kwanza, mafao baadaye'...think Mr. Rocky....think..
 
Aise kabla ya kuleta mashairi ngoja kwanza nijiulize kama ninatimiza viggezo
Maana naona bado sijakamilisha vigezo ndo niweze kuleta mashairi
AshaDii atanisaidia kidogo kufafanua ila nikileta shairi hapa vigezo na masharti kuzingatiwa

R' hivi wajua hapa wanamzungumzia Golden Mpolee, anajiita mzuri na mpole....lol... Ni new edition to the family; niece.
 
Afu Mishelee, my own, nani kakurusu uhamishie jukwaa la siasa huku? Am furious...

So sorry Babu, majukumu yamezidi,hapa nataka niombe kazi ya kuwa wakili wa Uhuru Kenyatta,Mpole anataka niwe mshauri wake...najikuta nimechanganya majukwaa!
 
Mwenyewe pia kanitosa....but nimeona sawa tu cuz always Ladies first!!

habari yako Rejao, uko busy saana siku hizi... upo unadonoa tu my brother... Regards from Paw na Smiles with Love....
 
Sasa huoni kuwa katiba yapaswa kulitambua hili? Amendments or whatever....

kwa vile tu haihasemwa, haina maana kuwa imekatazwa...wareva......ivi ulisema Canta anakuja with au without?:juggle:

halafu ukinionea shemeji yangu ZD, mwambie A 'come this way'
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…