Mkuu usafiri wangu bado natumia ule niliopewa na Mwenyezi Mungu bana
mambo ya GX 100 sijafikia viwango kabisa
Na kama ananipendea huo usafiri naona hapo uzalendo utanishinda
Nzuri dear! Limepungua kidogo. Thanx
Source?
Hommie unakumbuka tulivoumbuka siku ile tuna miadi ya kukutana na invizibo? Mi nlikwambia invizibo ni SHE ukabishaga. Damn!
Si afadhali huyo subordinate wa kazini, kuna Mturuki alishafanya kama hivyo, kuja kushutkia siku ya kukutana kakutana na mkewe!
Yaani tangu nimeingia hapa hakuna aliyequote post yangu hata moja. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Najitoa JF kuanzia leo. Manina!
Dah! haiwezekani babu!! na wewe tena unavyopenda misifa!!! dah!!Yaani tangu nimeingia hapa hakuna aliyequote post yangu hata moja. Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu. Najitoa JF kuanzia leo. Manina!
mambo ya Mheshimiwa mbunge mtarajiwa..jipange mkuu
Nafurahi kusoma hili,pole dear...you will be fine soon.
Hommie unakumbuka tulivoumbuka siku ile tuna miadi ya kukutana na invizibo? Mi nlikwambia invizibo ni SHE ukabishaga. Damn!
Nakubaliana na weweMtu huvutiwa then hupenda, wengine wakivutiwa na uzuri wa umbo,wapo ambao wanavutiwa na magari....hujapenda kaka....
Ukipenda hukati tamaa kirahisi...lol
Pole saana Dearest.... Get well soon.
Yaani Michelle,namkumbusha tu Mr. rocky maana unaweza kushangazwa mtu anayemdondokea ndo mbunge mtarajiwa, sasa akienda na Gx100 si ndo tutapata sababu ya kurudi chit chat kwa sredi nyingine? lol
Thats my girlie.... Yaani ni wewe tu umebakia, ni wewe tu kunipa joto la faraja. Nikupe zawadi gani hun? Ukimwona shem wangu mwambie am about to loose my temper. And thats too bad for her healthHello Babu, Hommie yuko na AshaDii kasema anarudi muda si mrefu....usijitoe JF,for my sake...lol
Yaani Michelle,namkumbusha tu Mr. rocky maana unaweza kushangazwa mtu anayemdondokea ndo mbunge mtarajiwa, sasa akienda na Gx100 si ndo tutapata sababu ya kurudi chit chat kwa sredi nyingine? lol
Bado tu hujaling'oa? what happened? pole sana Dena!Thanx nasubiri lipungue uvimbe nikatoe
Jamani acheni tuu. Zamani kama 10yrs back nilikuwa nawasiliana na msichana mmoja wa nairobi, tukafahamiana zaidi mpaka kila mmoja akatamani kuonana na mwenzake. Siku moja nikapata safari ya kikazi nairobi, nikafurahi kweli coz ningeonana na rafiki yangu. Nikamwambia nakuja naoirobi, akafurahi sana akatamani pia nifikie kwake ila nikakataa. Nilipofika nairobi, kama baada ya siku2 tukapanga kukutana. Kosa langu sikuweza kujificha kwanza so tukaonana direct. Jamani nilishtuka sana coz alikuwa ana sura ya utatanishi mpaka nikaogopa. nilimwambia nina haraka nitamtafuta kesho, nilipompiga mgongo tu,nika delete contacts zake na sikuwasiliana naye tena mpk leo. Ogopa kukutana na sura ambayo hukuitegemea...