'USELA' wa Makonda

'USELA' wa Makonda

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
unnamed%2B%25281%2529.jpg
 
Si ajabu akawa anamwamkia “shkamoo muheshimiwa baba,pole kwa safari",nini kilichompeleka airport yaani alimuamuru driver kuwasha V8 usiku kwenda kumpokea mtu mzima anaepajua anapoishi,hope alichukua bodaboda maana haingii akilini..aibu hii.
hata Mh Rais anaonekana anamuangalia akiwa na maswali kichwani
 
Hiyo fuselage mbona kama imebonyea hapo karibu na mlango? Wachunguzi muiangalie vema, manake stress za huko angani isije ikawa kama ndege za Comet! Bado tuna wahitaji watanzania wenzetu (na wasio waTz) wanaozitumia ndege hizo.
 
Hiyo fuselage mbona kama imebonyea hapo karibu na mlango? Wachunguzi muiangalie vema, manake stress za huko angani isije ikawa kama ndege za Comet! Bado tuna wahitaji watanzania wenzetu (na wasio waTz) wanaozitumia ndege hizo.
Yatakuja yatokee yasiyotarajiwa...HIVI HIYO NDEGE YA MWAKA GANI VILE NA NI YA KAMPUNI GANI ??
 
Mnamlaumu Makonda kwa kosa gani!?. Je Biblia haikufundisha kuhusu Wanawali Werevu ambao hawakuacha taa zao zizimwe wakimsubiri Bwana harusi ata usiku wa manane uku wakiwa na mafuta ya akiba pembeni!?. Na wale wanawali wapumbavu wakawasha taa zao bila ya akiba ya mafuta ata Bwana harusi halikawia kufika na taazao zikaisha mafuta na wakatolewa harusini. Makonda anafanya kazi anayostaili, maana ata kama umesoma lakini lazima ueshimu mamlaka kwa kujishusha!. Wengi hapa JF mnamchukia kwa kuwa anang'aa na nyinyi kwa kuwa ni wakaidi mnafeli kila siku!. Kama una nyenyekea ili upate, na ukipata basi nawe inua kichwa ujisifu by (Ally Mafuruki!).
 
hata Mh Rais anaonekana anamuangalia akiwa na maswali kichwani
Anamshangaa,inaonekana amebebwa ila habebeki coz kuna vitu anavifanya hata boss wake vinamkera(kama hili,tungetegemea tumuone mkewe Mh Magu but tunamuona mkuu wa mkoa)ina maana kawa mlinzi wake?kama alimchukua dereva,lazima alimlipa over time huo si ufujaji wa pesa za umma,mafuta yaliyotumika pia alitoa pesa mfukoni mwake?Rais anatamani amwambie ila siku atakayomwambia ataikuta barua kwa katibu wake.time will tell.
 
Mkuu @Mor😵ne. unataka kutuambia nini kwa mfano wako huo ktk bandiko #14?kwamba Makonda anafanya kazi nzuri yakusifiwa?ipi,kwenda kumpokea Rais usiku ni kazi yake,Rais hana walinzi?hana dereva wa kumpeleka ikulu?kama usalama tungetegemea tumuone IGP au RPC sio mkuu wa mkoa.Makonda huo mda anaopoteza kujipendekeza kwa Rais autumie kwa kujifungia chumbani kusali kwa Mungu ampe hekima na busara kuongoza maana kila siku matamko na hata moja lililotekelezwa hamna,siamini kama Rais anataka kunyenyekewa hivyo,aonyeshe unyenyekevu wake kwa kufanya kazi inayoonekana,Dar kuna kero mbalimbali ikiwemo ujambazi azishughulikie hizo ndiyo kazi anayolipwa kuifanya halipwi mshahara ili akampokee boss wake.
 
Back
Top Bottom