Used laptop

Used laptop

TATIANA

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
4,695
Reaction score
2,449
Whats up gud pipo,

am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu.

Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana.
Shukrani.
 
tatiana enhee... karibu, used laptop? ni pm
 
Whats up gud pipo,

am new hia japo nimekuwa nikisoma posts zenu sana , mawazo yenu yamenikuza na kuipanua akikili yangu.plz naombeni ushirikiano wenu.

Baada ya utambulisho,ninaomba msaada wenu wa mawazo. Nahitaji used laptop ya bei nafuu. Ikiwa imported itakua bomba sana.
Shukrani.
Hapoi unataka kipi Red au Blue
 
Uko wapi Tatiana mimi nakushauri uchukue Mpya tu ili usipate tabe na hizo used
 
avatar14388_4.gif
Chipikizi kila nikiiona hii picha yako daima huwa nafurahi sana
 
uko wapi tatiana mimi nakushauri uchukue mpya tu ili usipate tabe na hizo used

zipuwawa dia nipo dar, i wish i culd buy a nwe one but budget constraint. Si unajua tena pesa zenyewe za manati.
 
Nimekuelewa ngoja labda wapo watu watakutafutia kwa bei hiyo nisikukatishe tamaa
zipuwawa dia nipo dar, i wish i culd buy a nwe one but budget constraint. Si unajua tena pesa zenyewe za manati.
 
Sijakukatisha tamaa ila mara nyingi Used unaweza nunua ikawa na usumbufu sana ndio maana nakupa angalizo TATIANA
 
Huwezi amini hata ukicheki Ebay, used laptop si bei hiyo 200usd ni ndogo sana kwa laptop yenye features nzuri... (hii ni kwa Imported Laptops)

lakini ajabu ni kwamba bongo unaweza pata laptop nzuri hata kwa laki nne au mpaka tatu na nusu.... Why utajiuliza???? Ni kwa sababu zifuatazo:-
  • laptop za wizi (kutoka mikoa mingeni na nchi jirani kenya uganda etc)
  • ugumu wa maisha, mtu anaamua kuuza mashine yake kwa bei nafuu
Hope this helps.... Hata nje England A decent laptop kwenye sales itakuwa kuanzia paundi 350 USA labda kuanzia kwenye 250usd kabla haujaweka shipment
 
huwezi amini hata ukicheki ebay, used laptop si bei hiyo 200usd ni ndogo sana kwa laptop yenye features nzuri... (hii ni kwa imported laptops)

lakini ajabu ni kwamba bongo unaweza pata laptop nzuri hata kwa laki nne au mpaka tatu na nusu.... Why utajiuliza???? Ni kwa sababu zifuatazo:-
  • laptop za wizi (kutoka mikoa mingeni na nchi jirani kenya uganda etc)
  • ugumu wa maisha, mtu anaamua kuuza mashine yake kwa bei nafuu
hope this helps.... Hata nje england a decent laptop kwenye sales itakuwa kuanzia paundi 350 usa labda kuanzia kwenye 250usd kabla haujaweka shipment

asante sana vor, anyway i dont need a fancy one ila yenye features za kawaida tu.
 
asante sana vor, anyway i dont need a fancy one ila yenye features za kawaida tu.

basi nunua hapa hapa bongo nje hautapata... weka advert kwenye matangazo madogomadogo hapa JF "Nataka Kununua Laptop For around 200usd) am sure kuna mdau labda anataka kuuza yake.
 
basi nunua hapa hapa bongo nje hautapata... Weka advert kwenye matangazo madogomadogo hapa jf "nataka kununua laptop for around 200usd) am sure kuna mdau labda anataka kuuza yake.

thanks kwa kweli,ni wazo zuri sana,nitalifanyia kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom