adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,589
- 7,769
Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi.Hapa naona hujaeleweka mkuu
Hawa wanakuja na mitaji sisi ndio tunawakopa.😀😀
Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi.Hapa naona hujaeleweka mkuu
Kampuni nyingi za kichina ni za serikali ya China.Nilikuwa mwendokasi..hao Wachina wakikaza kwenye kesi..huwa hatushindi.
Hawa wanakuja na mitaji sisi ndio tunawakopa.😀😀
Mpeni Kagame hii inji japo muwaka mumoja tu mutabaambia benyewe.Hili linashangaza.
TAKUKURU siku hizi ni kama mbwa asiye na meno, wamebaki kubweka tu.