Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Hata wale wapunga majini wa mwembechai nao ni matapeli. Kwa kifupi dunia imejaa sasa inacheuaNa hakuna wanaotapeliwa kama wakristo hasa walokole ,sijui wanalishwa limbwata gani tu,yaani kuna utapeli mwingine wanafanyiwa hata mtoto wa darasa la 2 anaustukia,lakini kondoo wa bwana watiifu hawahitaji hata kuhoji ni dhambi,mtatapeliwa sana mpaka mkija kuamka wameshajenga makasri kama mama Lwakatare wakati waamini wao hata mlo mmoja tabu