Usanii wa nabii Malisa na miujiza feki

Usanii wa nabii Malisa na miujiza feki

Kinachowafanya Watu Watapeliwe Ni Imani Zao Jamani, Wameruhusu Imani Izidi Utashi.
Lakn Pia Kwa Upande Wa Waislam Wapo Pia Ambao Wanatabiri Nyota Yako Kwa Kutumia Njia Mbali Mbali Ikiwemo Quran, Mfano Mtoto Wa Shekh Yahya, So Haya Ni Mambo Yalogawanyika Tu. Hawa Wanafanyia Kwny Ofisi Zao Kanisani Na Wale Wanafanyia Kwny Ofis Zao Nyumbani Au Kwingineko.
Mkuu niliwahi kuwa namatatizo kipindi cha nyuma nikaenda kwa sheikh Yahaya marehemu. Nikweleza matatizo yangu mwanzo mpk mwisho akawa anaandika kiarabu. Baadae akakunja ile karatasi akaiweka kwenye kakikapu flani, then akanambia lete elfu hamsini. Nikamwambia Mzee wangu sinahela zaidi yaniliyotozwa pale nje hadi nikaruhusiwa kuja kukuona. Akanambia sasa kamahuna hela umekuja kufanya nini? Nikamwambia sinimeshatoa pale reception? Tukawa kama tunabishana hivi ila baadae akanambia we katafute hela hadi jioni uhakikishe ukipata uje.

Nikaondoka nikijiuliza maswali kibao bila majibu. Huyu mtu anadai anasaidia watu kupitia Mungu lakini ukifika pale hela mbele. Kwahiyo utapeli nawizi wamchana kweupe kupitia mgongo wa imani nikila dini. Hakuna waislam wala wakristo, kotekote tunapigwa tu sema kwa style tofauti.
 
Wanaotapeliwa Ndo wale wale waliokuwa wanakanyagwa migongo yao
 
Katika watu waliyowekeza sana katika imani ni wakristo,yani walitakiwa wawe na uwezo wa kuamisha mlima. Na ndiyo maana kwao miujiza inakuwa ni jambo kubwa sana katika dini.
 
Kuwapo kwao kulishatabiriwa, wenye masikio na wasikie. Yote ni mipango ya shetani.ILUMINAT.
 
Acha waendelee kuliwa, maana hata serikali haiwezi kuingilia kati maana kuna ule msemo kwamba serikali ya Tz haina dini
 
Mkuu niliwahi kuwa namatatizo kipindi cha nyuma nikaenda kwa sheikh Yahaya marehemu. Nikweleza matatizo yangu mwanzo mpk mwisho akawa anaandika kiarabu. Baadae akakunja ile karatasi akaiweka kwenye kakikapu flani, then akanambia lete elfu hamsini. Nikamwambia Mzee wangu sinahela zaidi yaniliyotozwa pale nje hadi nikaruhusiwa kuja kukuona. Akanambia sasa kamahuna hela umekuja kufanya nini? Nikamwambia sinimeshatoa pale reception? Tukawa kama tunabishana hivi ila baadae akanambia we katafute hela hadi jioni uhakikishe ukipata uje.

Nikaondoka nikijiuliza maswali kibao bila majibu. Huyu mtu anadai anasaidia watu kupitia Mungu lakini ukifika pale hela mbele. Kwahiyo utapeli nawizi wamchana kweupe kupitia mgongo wa imani nikila dini. Hakuna waislam wala wakristo, kotekote tunapigwa tu sema kwa style tofauti.
[emoji115] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mjini Cha Bure Salamu Tu Mkuu, Pole Sana. Tena Kwa Hawa Wanajiita Manabii Afadhari Unatoa Pesa Kidogo Coz Sadaka Inabeba Mzigo Wote Huo Lakn Kwa Hawa Wa Ofisini Lazma Akuchume Mkuu.
 
Mkuu niliwahi kuwa namatatizo kipindi cha nyuma nikaenda kwa sheikh Yahaya marehemu. Nikweleza matatizo yangu mwanzo mpk mwisho akawa anaandika kiarabu. Baadae akakunja ile karatasi akaiweka kwenye kakikapu flani, then akanambia lete elfu hamsini. Nikamwambia Mzee wangu sinahela zaidi yaniliyotozwa pale nje hadi nikaruhusiwa kuja kukuona. Akanambia sasa kamahuna hela umekuja kufanya nini? Nikamwambia sinimeshatoa pale reception? Tukawa kama tunabishana hivi ila baadae akanambia we katafute hela hadi jioni uhakikishe ukipata uje.

Nikaondoka nikijiuliza maswali kibao bila majibu. Huyu mtu anadai anasaidia watu kupitia Mungu lakini ukifika pale hela mbele. Kwahiyo utapeli nawizi wamchana kweupe kupitia mgongo wa imani nikila dini. Hakuna waislam wala wakristo, kotekote tunapigwa tu sema kwa style tofauti.
FYI sheikh yahya hakuwa muislam pure,elimu ya dini ya kiislam inakataza mtu kujihusisha na matendo ya kiunajimu na yeye alikuwa anajihusisha kwa kiwango cha juu kbs,so he disqualified to be role model wa uislam,so please regard him just like others
 
Habari wakuu,

Jana wakati naangalia Star Tv kipindi cha mahuburi ya huyu jamaa Malisa nilishangazwa na jambo moja ambalo yeye analiita muujiza wa kuwaingizia watu pesa kwenye akaunti zao kama ni mpesa tigopesa au airtell money.

Sina shaka na uwezo wa kufikiri wa waumini wa makanisa ya miujiza kuwa ni mdogo ndio maana wanatapeliwa ila kinachonisikitisha ni huyu nabii kuhisi kuna wajinga hata nje ya kanisa lake anaweza kuwadanganya kwa miujiza feki ya kuwawekea watu kwenye pesa na kuna wajinga kama watatu walikimbilia mbele kwenda kushuhudia kuwa wamewekewa pesa na malaika kimiujiza ila hawakuonyesha ushahidi wowote katika kitu kinachoonyesha.

Ile hali ilikuwa staged maneno waliyokuwa wanaongea wale watu ni very identical, mwisho kabisa huyu nabii mwenye uwezo wa kuwawekea watu pesa kimiujiza yeye alikuwa anaomba achangiwe kwa mpesa na tigo pesa kwa namba alizokuwa anataja yaani muujiza haufanyi kazi kwake ila kwa waumini tu.

Amkeni wakristo wezangu tusiwe kondoo kwenye kila kitu.
Uvivu wa kusoma maandiko umewafikisha wakristo hapo,
Watu wanataka kuombewa na sio kujiombea.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa................................................Watu wengi wanataka miujiza kuliko maarifa..... Hela zako si bora ukawekeze pale SOS children center kituo cha watoto yatima na mungu atakupa mara mia zaidi ya unapotoa uko ambako ata ujui hela yako inafanyia nini...................
 
Hongera kwa fact mkuu ila naomba niseme jambo moja tu kuwa...IMANI BILA AKILI NI SUMU.
 
Kuna shosti wangu aliacha kwenda huko kwa sababu unalazimishwa kuanguka wakati unaombewa. Watakuja na kukusukuma kwa nguvu ili uonekane umepagawa na mapepo. Usipo anguka anatumia nguvu nyingi sana kukuangusha.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] kazi kweli kweli
 
Habari wakuu,

Jana wakati naangalia Star Tv kipindi cha mahuburi ya huyu jamaa Malisa nilishangazwa na jambo moja ambalo yeye analiita muujiza wa kuwaingizia watu pesa kwenye akaunti zao kama ni mpesa tigopesa au airtell money.

Sina shaka na uwezo wa kufikiri wa waumini wa makanisa ya miujiza kuwa ni mdogo ndio maana wanatapeliwa ila kinachonisikitisha ni huyu nabii kuhisi kuna wajinga hata nje ya kanisa lake anaweza kuwadanganya kwa miujiza feki ya kuwawekea watu kwenye pesa na kuna wajinga kama watatu walikimbilia mbele kwenda kushuhudia kuwa wamewekewa pesa na malaika kimiujiza ila hawakuonyesha ushahidi wowote katika kitu kinachoonyesha.

Ile hali ilikuwa staged maneno waliyokuwa wanaongea wale watu ni very identical, mwisho kabisa huyu nabii mwenye uwezo wa kuwawekea watu pesa kimiujiza yeye alikuwa anaomba achangiwe kwa mpesa na tigo pesa kwa namba alizokuwa anataja yaani muujiza haufanyi kazi kwake ila kwa waumini tu.

Amkeni wakristo wezangu tusiwe kondoo kwenye kila kitu.
Watu wengi wanageuzwa kuwa vitafunwa kwasababu hawaijui kweli, Hiyo kweli ni neno, nalo neno ukilijua litakuweka huru. Hatukuandikiwa kuishi kwa muujiza bali tuliandikiwa kuishi kwa neno
 
Kinachowafanya Watu Watapeliwe Ni Imani Zao Jamani, Wameruhusu Imani Izidi Utashi.
Lakn Pia Kwa Upande Wa Waislam Wapo Pia Ambao Wanatabiri Nyota Yako Kwa Kutumia Njia Mbali Mbali Ikiwemo Quran, Mfano Mtoto Wa Shekh Yahya, So Haya Ni Mambo Yalogawanyika Tu. Hawa Wanafanyia Kwny Ofisi Zao Kanisani Na Wale Wanafanyia Kwny Ofis Zao Nyumbani Au Kwingineko.
Hilo jambo kwa waislamu wanaolifahamu neno ni Haraam. Mtu anaefuata watu wa nyota ni miongoni mwa waliokufuru. Si kila mvaa kanzu ni shehe, wala si kila anayesma kiarabu ni muislamu, wala si kila anayenukuu aya za quran ni mcha MUNGU wa kweli.
 
Habari wakuu,

Jana wakati naangalia Star Tv kipindi cha mahuburi ya huyu jamaa Malisa nilishangazwa na jambo moja ambalo yeye analiita muujiza wa kuwaingizia watu pesa kwenye akaunti zao kama ni mpesa tigopesa au airtell money.

Sina shaka na uwezo wa kufikiri wa waumini wa makanisa ya miujiza kuwa ni mdogo ndio maana wanatapeliwa ila kinachonisikitisha ni huyu nabii kuhisi kuna wajinga hata nje ya kanisa lake anaweza kuwadanganya kwa miujiza feki ya kuwawekea watu kwenye pesa na kuna wajinga kama watatu walikimbilia mbele kwenda kushuhudia kuwa wamewekewa pesa na malaika kimiujiza ila hawakuonyesha ushahidi wowote katika kitu kinachoonyesha.

Ile hali ilikuwa staged maneno waliyokuwa wanaongea wale watu ni very identical, mwisho kabisa huyu nabii mwenye uwezo wa kuwawekea watu pesa kimiujiza yeye alikuwa anaomba achangiwe kwa mpesa na tigo pesa kwa namba alizokuwa anataja yaani muujiza haufanyi kazi kwake ila kwa waumini tu.

Amkeni wakristo wezangu tusiwe kondoo kwenye kila kitu.
Km Mganga vile. Sometimes wakristo tunakua km tumelogwa..... Wagalatia3:1 Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa?
 
Hahaha huyu jamaa ni tapeli sana..
 
Kuna mwingine yupo Nigeria anawapiga sana viongozi juzi mh. Mwenyekiti nae kaenda kutapeliwa.
 
Back
Top Bottom