Usanii wa nabii Malisa na miujiza feki

Usanii wa nabii Malisa na miujiza feki

Kinachowafanya Watu Watapeliwe Ni Imani Zao Jamani, Wameruhusu Imani Izidi Utashi.
Lakn Pia Kwa Upande Wa Waislam Wapo Pia Ambao Wanatabiri Nyota Yako Kwa Kutumia Njia Mbali Mbali Ikiwemo Quran, Mfano Mtoto Wa Shekh Yahya, So Haya Ni Mambo Yalogawanyika Tu. Hawa Wanafanyia Kwny Ofisi Zao Kanisani Na Wale Wanafanyia Kwny Ofis Zao Nyumbani Au Kwingineko.
unajimu ama utabiri wa nyota katika uislamu ni dhambi kubwa sana ambayo inaitwa shirki so anachofanya hussein yahya cyo uislamu
 
Watu wengi wanapigwa hasa Wanawake Tatizo hawataki kusoma NENO la MUNGU wenyewe nakulielewa....pia wanapenda Miujiza tu!,,,,Kingine Nilichogundua kwa wanawake wanahangaika kwenye mahema wenyewe wanayaita makanisa bila kujua kitu gani wanatafuta huko
Mkuu dolevaby,na hao mama zetu,dada zetu na mabinti zetu ndio pia wanaoongozwa kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Tatizo hasa la msingi la wao kuhangaika huku ni nini?
 
Mkuu dolevaby,na hao mama zetu,dada zetu na mabinti zetu ndio pia wanaoongozwa kwenda kwa waganga wa kienyeji.
Tatizo hasa la msingi la wao kuhangaika huku ni nini?
Nadhani wana roho za Mahangaiko tangu Asili yakuzaliwa kwao!,,,,,,wanaibiwa sana nahuko kwa waganga mpaka wanaWalala....lkn hawajali kabisa Ninae Shemeji yangu 1ameshahonga GARI na NABII ana nyumba hajaimalizia nasasa amemkabisha akae kwenye Nyumba yake ukimwambia waala haelewi anakuona unataka kumBANIA miujiza khaaa....!!!!
 
Wacha wapigwe pesa tu maana hakuna namna ,hawashauriki hao umesahau wale waliotaka kwenda Ulaya kwa miujiza pale airport wakapiga kambi hawana passport wala visa,(Wasabato masalia).
Mkuu wale hawakua wapigaji wa pesa ila waliamini ni jukumu la mashirika ya ndege kuwasafirisha kwenda duniani kote kuhubiri injili bila kulipia
 
Hawa manabii 'wa kuibukia' wala siwalaumu.Nawalaumu wale wanaokwenda kwenye haya makanisa;yaani they are totally brain washed.Kuna mambo yanafanywa na hawa wanaojiita manabii ni HADAA tupu lakini waumini wao akili zimevia kabisa kung'amua.
Ujumbe wangu kwao hawa waumini ni kwamba imani,matendo na mwenendo ya dini yoyote ni lazima yote hayo matatu YAKUBALIANE NA AKILI.
 
Kinachowafanya Watu Watapeliwe Ni Imani Zao Jamani, Wameruhusu Imani Izidi Utashi.
Lakn Pia Kwa Upande Wa Waislam Wapo Pia Ambao Wanatabiri Nyota Yako Kwa Kutumia Njia Mbali Mbali Ikiwemo Quran, Mfano Mtoto Wa Shekh Yahya, So Haya Ni Mambo Yalogawanyika Tu. Hawa Wanafanyia Kwny Ofisi Zao Kanisani Na Wale Wanafanyia Kwny Ofis Zao Nyumbani Au Kwingineko.
Hawa watabiri wa nyota na wale wanaoamini katika nyota kana kwamba nyota ndio Mungu,wajue wako kwenye USHIRIKINA MKUBWA.Hakuna yeyote mbinguni na ardhini ajue yatakayojiri/yajayo/kesho ISIPOKUWA Mwenyezi Mungu.
 
Habari wakuu,

Jana wakati naangalia Star Tv kipindi cha mahuburi ya huyu jamaa Malisa nilishangazwa na jambo moja ambalo yeye analiita muujiza wa kuwaingizia watu pesa kwenye akaunti zao kama ni mpesa tigopesa au airtell money.

Sina shaka na uwezo wa kufikiri wa waumini wa makanisa ya miujiza kuwa ni mdogo ndio maana wanatapeliwa ila kinachonisikitisha ni huyu nabii kuhisi kuna wajinga hata nje ya kanisa lake anaweza kuwadanganya kwa miujiza feki ya kuwawekea watu kwenye pesa na kuna wajinga kama watatu walikimbilia mbele kwenda kushuhudia kuwa wamewekewa pesa na malaika kimiujiza ila hawakuonyesha ushahidi wowote katika kitu kinachoonyesha.

Ile hali ilikuwa staged maneno waliyokuwa wanaongea wale watu ni very identical, mwisho kabisa huyu nabii mwenye uwezo wa kuwawekea watu pesa kimiujiza yeye alikuwa anaomba achangiwe kwa mpesa na tigo pesa kwa namba alizokuwa anataja yaani muujiza haufanyi kazi kwake ila kwa waumini tu.

Amkeni wakristo wezangu tusiwe kondoo kwenye kila kitu.
Ndugu kweli tunakoelekea siko kabisa uyu jamaa anaejiita nabii malisa kuna siku nilipanda nae kwenye fligt moja toka doha yeye na mke wake before mm sikua namjua kwenye waiting area tukawa tunaongea kawaida story za apa na pale kuusiana na holly days wapi pa kwenda story mpaka tunaland kia. Aisee ndo nilijua kuna watu wasanii tulivyotoka arriver area nilishangaa umati wa watu uliokua unamsubiri uku wakimuimbia baba baba dhu watu wazima na mvi zao wanamuita baba dhu! Nilibaki tu na mshango masta ila kwakweli dini ni sumu mbaya
 
mm inanishangaza yaani mtu unatapeliwa huku unajua halafu uko kimya sana
kwanini usifumbuke macho ya kiroho kwa maombi ukajua unadanganywa
yaani sijui wanapewa sumu gani mambo mengine ni aibu kwa kweli
 
Ndugu kweli tunakoelekea siko kabisa uyu jamaa anaejiita nabii malisa kuna siku nilipanda nae kwenye fligt moja toka doha yeye na mke wake before mm sikua namjua kwenye waiting area tukawa tunaongea kawaida story za apa na pale kuusiana na holly days wapi pa kwenda story mpaka tunaland kia. Aisee ndo nilijua kuna watu wasanii tulivyotoka arriver area nilishangaa umati wa watu uliokua unamsubiri uku wakimuimbia baba baba dhu watu wazima na mvi zao wanamuita baba dhu! Nilibaki tu na mshango masta ila kwakweli dini ni sumu mbaya
Yaap....ndio maana inasemekana hakuna Vita mbaya kama ya DINI watu wanakuwakuwa wamevurugwa hakuna kitu utawaambia wakeelewe
 
Hawa watabiri wa nyota na wale wanaoamini katika nyota kana kwamba nyota ndio Mungu,wajue wako kwenye USHIRIKINA MKUBWA.Hakuna yeyote mbinguni na ardhini ajue yatakayojiri/yajayo/kesho ISIPOKUWA Mwenyezi Mungu.
Kama Hatusomi Maandiko Maana Yake Ni Kwamba Tunakosa Misingi, Na Tukikosa Misingi Pia Gunakosa Principle So Tunaruhusu Kila Mtu Atubadili Mawazo Vile Anataka.
Ukiwa Na Misingi Ambayo Hujenga Principle, Kila Kile Ambacho Kinataka Kupita Ndani Yako, Ni Lazima Kwanza Utakichuja Ili Kikidhi Vigezo Lakn Kama Hauna Principle, Basi Utaruhusu Kila Kiti Kiingie Na Kubadili Chochete Kwny Maisha Yako Kwa Wakat Wowote.
 
Back
Top Bottom