dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
Nimecheka sana!,,,nahisi kayachagulia siku maalum hili jipu la malisa limeiva kabisa
Nimecheka sana!,,,nahisi kayachagulia siku maalum hili jipu la malisa limeiva kabisa
Kuna shosti wangu aliacha kwenda huko kwa sababu unalazimishwa kuanguka wakati unaombewa. Watakuja na kukusukuma kwa nguvu ili uonekane umepagawa na mapepo. Usipo anguka anatumia nguvu nyingi sana kukuangusha.Habari wakuu,
Jana wakati naangalia Star Tv kipindi cha mahuburi ya huyu jamaa Malisa nilishangazwa na jambo moja ambalo yeye analiita muujiza wa kuwaingizia watu pesa kwenye akaunti zao kama ni mpesa tigopesa au airtell money.
Sina shaka na uwezo wa kufikiri wa waumini wa makanisa ya miujiza kuwa ni mdogo ndio maana wanatapeliwa ila kinachonisikitisha ni huyu nabii kuhisi kuna wajinga hata nje ya kanisa lake anaweza kuwadanganya kwa miujiza feki ya kuwawekea watu kwenye pesa na kuna wajinga kama watatu walikimbilia mbele kwenda kushuhudia kuwa wamewekewa pesa na malaika kimiujiza ila hawakuonyesha ushahidi wowote katika kitu kinachoonyesha.
Ile hali ilikuwa staged maneno waliyokuwa wanaongea wale watu ni very identical, mwisho kabisa huyu nabii mwenye uwezo wa kuwawekea watu pesa kimiujiza yeye alikuwa anaomba achangiwe kwa mpesa na tigo pesa kwa namba alizokuwa anataja yaani muujiza haufanyi kazi kwake ila kwa waumini tu.
Amkeni wakristo wezangu tusiwe kondoo kwenye kila kitu.
Yule wa kibangu anapokea yeye mwenyewe mkononi na kuweka mfukoni. Hakuna biashara ya kuhesabia sadaka. Atahesabia mwenyewe nyumbani. Kwaya ni yeye mwenyeweWajinga ndio waliwao, acha waliwe. Kuna mwingine huku Arusha hela anawekewa miguu ndio inakuwa sadaka kumpa mkononi eti ni malipo ,ajabu mahubiri yakiisha zinaokotwa kwa mkono kuwekwa kwenye kikapu! kweli dunia imevaa kanzu.
Kuna baadhi ya vitendo vya hawa manabii ukiviona huitaji hata kujua amri kumi za mungu au kupita mafundisho kujua kama ni wasanii tu,kuna wengne huwakanyaga waumini kwenye matumbo na kusema ni sala na maombi,na kuwalazimisha kuanguka inshort thibitisho zimetolewa nying sana kuwa prove ni manabii wa uongo,wengi wetu waafrika tumelala sana hatushughulishi akili zetu,kila anachoambiwa mtu anakipokea bila hata ya kukichujaHawa manabii 'wa kuibukia' wala siwalaumu.Nawalaumu wale wanaokwenda kwenye haya makanisa;yaani they are totally brain washed.Kuna mambo yanafanywa na hawa wanaojiita manabii ni HADAA tupu lakini waumini wao akili zimevia kabisa kung'amua.
Ujumbe wangu kwao hawa waumini ni kwamba imani,matendo na mwenendo ya dini yoyote ni lazima yote hayo matatu YAKUBALIANE NA AKILI.
Tehhehh yule haiweki mfukoni mpaka aiangalie ni sh. ngapi halafu unakutazama na wewe uliempa jinsi unavyoishia kwenda kwenda kukaa, sijui huwa anatafakari nini?!Yule wa kibangu anapokea yeye mwenyewe mkononi na kuweka mfukoni. Hakuna biashara ya kuhesabia sadaka. Atahesabia mwenyewe nyumbani. Kwaya ni yeye mwenyewe
Ni namna fulani ya uzuzu.Kuna baadhi ya vitendo vya hawa manabii ukiviona huitaji hata kujua amri kumi za mungu au kupita mafundisho kujua kama ni wasanii tu,kuna wengne huwakanyaga waumini kwenye matumbo na kusema ni sala na maombi,na kuwalazimisha kuanguka inshort thibitisho zimetolewa nying sana kuwa prove ni manabii wa uongo,wengi wetu waafrika tumelala sana hatushughulishi akili zetu,kila anachoambiwa mtu anakipokea bila hata ya kukichuja
Uzuzu of the highest stage,Ni namna fulani ya uzuzu.
Exactly!Uzuzu of the highest stage,
Huyo adui namba 1 ndio mbaya na hatari kuliko hao wengine.Maadui watatu wa Taifa letu:-
1. Ujinga 2. Umaskini 3. Magonjwa
Unaweza kuona namna wanavyotesa Watanzania