Usanii na usaliti wa Zitto Kabwe vinakaribia kufika kikomo. Nini hatima yake?

Umeandika hivi. Bila mimi kukuomba unisaidie kujua mjadala upi nichangie.
Ni UPUMBAVU kutoa comments kwenye public platform, tena yenye replying option halafu utategemea utadi-dictate aina ya maoni yatakayofuata. Just Hilo.
Sihitaji msaada wako kujua mjadala wa kuchangia, siku nyingine usiniletee kiherehere chako.
Mimi sina muda huo wa kutoa msaada kwasababu, msaada unaoupata kwa wazungu unakutosha kabisa.
Maneno yako haya.

"Mkuu, ukikutana misukule wa Mbowe wanamjadili Zitto wewe endelea na Maisha yako.

Hakuna mjadala wa maana wowote utaukuta Hapo.

Siku zote wanasiasa wote ambao huwa wanakosana na Mbowe huwa wanapotea kwenye siasa, sasa huyu Zitto anaonekana Ni kichwa ngumu ndio maana vimjadala uchwara kama hivi kutoka kwa Hawa wafuasi wake Mbowe vimeshindwa kuisha.

Kumbuka, siku zote ukikosana na Mbowe wewe ndio MKOSAJI."
Mute the reply button, then you'll be good to go.

Vinginevyo, narudia huna uwezonwa ku-dictate aina ya comments kwenye reply button.

Huo uwezo huna, na hutakuwa nao mpaka unakufa.
Get used to that.
 
Ni UPUMBAVU kutoa comments kwenye public platform, tena yenye replying option halafu utategemea utadi-dictate aina ya maoni yatakayofuata. Just Hilo.

Mimi sina muda huo wa kutoa msaada kwasababu, msaada unaoupata kwa wazungu unakutosha kabisa.

Mute the reply button, then you'll be good to go.

Vinginevyo, narudia huna uwezonwa ku-dictate aina ya comments kwenye reply button.

Huo uwezo huna, na hutakuwa nao mpaka unakufa.
Get used to that.
Jamaa huna hoja hapa. Umekwama
 
Wala sio siri, siasa za Zitto hazina maslahi yoyote kwa wazanzibar wanaopigania uhuru wao kutoka mikononi mwa ukoloni wa CCM. Na tayari wenye akili ndani ya ACT wameshamgundua kuwa Zitto ni dalali, tayari choko choko zimeshaanza.
 
Ni UPUMBAVU kutoa comments kwenye public platform, tena yenye replying option halafu utategemea utadi-dictate aina ya maoni yatakayofuata. Just Hilo.

Mimi sina muda huo wa kutoa msaada kwasababu, msaada unaoupata kwa wazungu unakutosha kabisa.

Mute the reply button, then you'll be good to go.

Vinginevyo, narudia huna uwezonwa ku-dictate aina ya comments kwenye reply button.

Huo uwezo huna, na hutakuwa nao mpaka unakufa.
Get used to that.
Wewe unaniambia nisichangie mjadala ambao wewe mwenyewe umeshindwa kujizuia kuchangia.

Mimi nasema sihitaji kusaidiwa kujua mjadala gani nichangie.

Hapa nani mpumbavu sasa?
 
Mpumbavu Ni yule anayelazimisha maoni yatakayotokea kwenye "reply" yake yawe vile anavyotaka.
 
Wewe ngumbaru hujui kusoma kwa ufahamu.

Kati ya wewe unayelazimisha watu wasijadili kitu hapa kwa kuwa mjadala ni wa misukule ya Mbowe, na mimi ninayekuambia usijipe cheo cha kupanga watu wajadili nini, nani analazimisha mjadala?

Nani analazimisha maoni?
 
Mkuu, ukikutana misukule wa Mbowe wanamjadili Zitto wewe endelea na Maisha yako.

Hakuna mjadala wa maana wowote utaukuta Hapo.

Siku zote wanasiasa wote ambao huwa wanakosana na Mbowe huwa wanapotea kwenye siasa, sasa huyu Zitto anaonekana Ni kichwa ngumu ndio maana vimjadala uchwara kama hivi kutoka kwa Hawa wafuasi wake Mbowe vimeshindwa kuisha.

Kumbuka, siku zote ukikosana na Mbowe wewe ndio MKOSAJI.
Umeamua kumtaja Mbowe ilimradi chuki yako juu yake ionekane.

Mbowe wakati wake wa kufa utafika nawe utapona.
 
Huna hoja, unaleta viroja.

Straight to ignore list.

Kuanzia hapa sitaona uchafu wako.
🤣🤣🤣🤣

Unajipa umuhimu sana kwenye Maisha ya watu. Utazalishwa.

Ignore list🤣🤣🤣

Kwamba unagawa oxygen humu🤣🤣

Kwamba unadhani una umuhimu sana humu kwenye Maisha ya watu?

Huu Ni mtindio wa ubongo.

Ulishawahi kuoigwa BAN humu ukasusa, Kuna mtu alikwambia urudi?

Hata ukifa kabisa, na usiwepo humu, who cares?
 
Hi ni public platform. Huwezi kuweka mada kwenye public platform halafu ukataka public iendelee na Maisha yake.

Huo Ni UJUHA.

Huwezi ku-dictate aina ya mjadala unavyotaka uwe.
Jamaa huwa una mihemko ya hatari sana, yani unamzuia mwenzio kujadili kisa ni mjadala wa "misukule ya Mbowe" lakini wewe unajadili kwasababu hii jf ni public platform!

#chizi
 
Wavuruga mijadala mmeanza! Hiki kirusi kinaathiri sana.
Si vyema kuyumbisha mijadala, kudhihaki watu kwa kuwaita misukule kwa maslahi unayoyajua wewe.
Si sawa kwenye jamii iliyostaarabika.
Unaweza kunionesha Ni wapi nimepkupangia mjadala upi ucha gie?

Nikupapatikie wewe, kwani una tundu lolote la ajabu ninalolihitaji?
 
Mkuu, ukikutana misukule wa Mbowe wanamjadili Zitto wewe endelea na Maisha yako.

Hakuna mjadala wa maana wowote utaukuta Hapo.

Siku zote wanasiasa wote ambao huwa wanakosana na Mbowe huwa wanapotea kwenye siasa, sasa huyu Zitto anaonekana Ni kichwa ngumu ndio maana vimjadala uchwara kama hivi kutoka kwa Hawa wafuasi wake Mbowe vimeshindwa kuisha.

Kumbuka, siku zote ukikosana na Mbowe wewe ndio MKOSAJI.
Huwa sitegemei kukutana na Mjita Mbubumbu labda wewe ni Mruli.
 
Back
Top Bottom