ndogwila
Member
- Jan 10, 2011
- 21
- 3
habari zilizonifikia hivi punde zinaonesha hali kuwa mbaya zaidi ktk mgomo wa wanafunzi udom(coed)pale ambapo wachache wanaojipendekeza kwa wakubwa wa chuo kuingia madarasani huku wengine wakiendelea na mgomo na kusimamia madai yao ya msingi.hali hii inahatarisha maisha ya wanaharakati wa kutetea haki chuoni hapo.wasaliti hao wachaache wanojiita mwaka wa tatu wanasema hawana sababu ya kugoma kwa kuwa wamebakiza siku chache chuoni huku wakishirikiana na utawala kuuzima mgomo huo ili kumridhisha waziri mkuu mh.Pinda kwamba ametatua mgogoro huo lakini kiukweli alitatua wa wahadhili tu na kuignore ule wa wanafunzi.