Usaliti wa mapenzi

Usaliti wa mapenzi

unajua mtu mpaka akifikie hatua ya kujiua ni kwamba ameona hana thamani kabisa duniani.

We unaona watu wanajiua ajili wameachana
na wapenzi wao, au wanajiua ajili ya mambo ya fedha,
Na wengine ajili ya kazi etc....

lakini hiyo ni hatua ya mwisho.
Huwa mtu anakuwa na ugonjwa unaoitwa "depression"
Hapa nyumbani watu hawauchukulii ugonjwa huu Seriously.

huu ndio ugonjwa unaowafanya watu wanafikia hatua ya kutoa uhai wao.

depression matibabu yake yakoje
 
depression matibabu yake yakoje

Depression ni pale mtu anapokuwa na
1.Negative thinking about themselves .
2. low self esteem .
3. You feel like everyone is rejecting you.
4. thought of suicide or suicide attempts. etc ..

kuna vitu vingi sana vinavyofanya mtu awe depressed.

treatment .
Watu wengi sana huwa wanachukua medication ..
ila unakuwa very dependent on medication . siku hizi watu wanatafuta natural way of treating depression .
like meditating , socialize with positive people, join support group for depressions, ets..

kuwa karibu sana na ndugu na marafiki ni kitu muhimu sana na inasaidia.

Chamuhimu zaidi ni pale unapoanza kugundua umuhimu wako .
 
Sasa kama ndugu ni source ya hizo depression
 
Yani nijiue kisa mtu niliemjua tena ukubwani?Uwiiii Mungu niepushie hicho kitu kabisa
 
Yani nijiue kisa mtu niliemjua tena ukubwani?Uwiiii Mungu niepushie hicho kitu kabisa

Lakn ujue kuna mapenzi ya ukweli na yabongo move (ya kweli ndio mazara yake haya ya kujiua)(ya uongo ndio yale mnatongozana leo mnakaa sku 3 then mkizinguana mnatemana)
 
Lakn ujue kuna mapenzi ya ukweli na yabongo move (ya kweli ndio mazara yake haya ya kujiua)(ya uongo ndio yale mnatongozana leo mnakaa sku 3 then mkizinguana mnatemana)

Hivi eeeeh!ya ukweli lazima kuwe na uvumilivu eeeh?Hata kama umeona mtu ana muelekeo unavumilia tu?
 
Mambo zenyu wadau? Kiukweli madada sometime maamuzi yenu mnayochukua sio sahihi. Mpenzi wako kama kakusaliti na wewe msaliti sio unachukua Kisu na kujitoboa bana na kuwapa mtihani wazazi wenu.

Mtu unachukua maamuzi ya kujiua kisa Mwanaume au Mwanamke Kwani mmezaliwa wote.

Tujirekebishe wandugu maana kitendo cha kujiua hata shetani mwenyewe hapendelei.
Very true.... ukitaka kujiua hadi shetani nae anakuogopa
 
Maana shetan anataka ubaki ili aku2mie kwa mabaya yake
 
yan nijiue kisa mwanaume...big NO,najua time heal everything so nitamuv on tu coz mpk sasa nishasalitiwa na wanaume kama watano but sikati tamaa najua tu we were never meant to be together...nitapata mr.right tu one day yes!
 
Back
Top Bottom