Usaliti unauma

samahan wewe ni askofu?, n kweli hakuna dhambi kubwa, kama kuwa na mwanamke mmoja!! n pm ka huyo alo kuzingua!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii post ni ya mwaka 2018? Hivi ninyi vijana hua hamuelewi? Demu hasomeshwi
 
Pole sana mkuu shit happens all the time
Binafsi huwaga siwekezi kabisa kwa wanawake
RAHA TUPATE WOTE IWEJE GHARAMA ZIWE KWANGU A BIG NO
 
Hii ni mara ya pili nasikia hii kitu ya kuondolewa uraia, Hii ikoje mkuu?
Mshana Jr aliwahi uongelea hii kitu kwenye mambo ya kidini lakini inatumika hata huko jeshini kwa lugha ya kigeni unaweza ita brain washing, Ni mafunzo flani ya kuharibu ufahamu wako kukubali kutokutumia ubongo wako kifupi unatengenezwa kuwa kama robot, Ni moja kati ya mafunzo muhimu kwa yeyote ambaye atahitajika kutumika kwenye majeshi
 
Mkuu pole sana. Lakini ushauri wangu ni kwamba hebu fanya mpango na wewe ukafungue vitabu kwa kwenda shule Mkuu. Ni muhimu sana. Nenda kasome mkuu.
Nakuunga mkono mkuu,jamaa akapige kitabu kwelikweli..yaani kama ana bachelor degree, tia msuli hadi PhD,halafu siku ukikutana naye,utakuwa humkumbuki kabisa.

Jeshi lina mifumo yake ambayo mara nyingi wanawazua mabinti kuolewa na raia wa kawaisa,na hilo lina logic, maana kiuhalisia mtakuwa mnapishana sana kisaikolojia na ki falsafa,kwa hiyo hata ungemuoa,msingefika popote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanakufariji kuliko kukwambia ukweli....Sasa mm nakwambia ukweli ni hiviiiiii..mchumba hua hasomeshwi brother..kazi ya kusomesha na kuhudumia waachie wazazi wake tena ukome kuanzia leo kusomesha mchumba waambie na ndugu zako wote pamoja na jamaa zako wote kua mchumba hasomeshwi Ovaaaaaaaaa...and out..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hali uliyonayo ni kutokubali matokeo na kujihisi kama unaota vileeee... ila kubali matokeo kua kaenda japo si mchezo... maumivu hupotea taratibu sana kwanza itakusumbua siku za awali... POLE RAFIKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu ila tambua ndivyo walivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni mbaya sana I hate it mnoo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuuuh inaumaaa sanaaaa tambua waz hakuna fungu lako ucjl mwombe mungu akuonyeshe wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…