Usaliti unauma

maaskari kuwa kuwa naye makini sio wa kuwaamini ata kidogo awe polish, Jesus, magereza, fire, uhamiaji ni balaaa hao kaka hawana mapenzi
 
Huyo wa kwako amechelewa kubadilika tena nampongeza kidogo.

Mabinti wa siku hizi akihama tu wilaya achilia mbali mkoa, anakuwa sio wako tena
Kuna ukweli, Ingawaje ni mbaya
 
maaskari kuwa kuwa naye makini sio wa kuwaamini ata kidogo awe polish, Jesus, magereza, fire, uhamiaji ni balaaa hao kaka hawana mapenzi
Duuuh aisee kumbe ndivyo walivyo
 
Mkuu ulikuwa hauna wadogo zako hapo nyumbani wa kuwasaidia?hadi ukamsaidia mpita njia?
 
Haya mambo hayana mjanja , ukifanikiwa kupata mkweli mtulivu wakati wote basi ushukuru Mungu tu na wakati wote muombeane shetani asije wakaribia kamwe
 
Sio hualimu ni ualimu
But pole kwa yalyokusibu wenzio wanasema mchumba asomeshwi
 
Hivyo ndivyo wanawake walivyo mzee,pole sana!!
 
Huwa hawasomeshi wanawake.
 
Kitu kikubwa kuliko vyote ni kumkojoza ,hakikisha unamkojoza .

Ukimkojoza anasahau kila kitu .

Huko jeshini amepigwa pampu za maana akakojozwa.
 
Mchumba asomeshwi, mapenzi yasikufunge akili ukamwaga pesa kwa mchumba ukitegemea kumuoa.
 
Nakupa nyota zote braza
 
Invest what you can loose, usitumie pesa nyingi,muda mwingi, gharama nk kwa mwanamke ambaye hujamuoa hawa viumbe hawatabiliki, pole kwa yote mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…