Usalama wa Watoto/Mke wa Polepole upoje?

Mbali ya usalama wa Huyu mwanaharakati uchwara je usalama wa familia yake (watoto/mke) upoje? Umma isije ukawadhuru. Tuungane kuwatambua walipo na kuwalinda na maadui
OktobaTUNATIKI pole sana kwa kudhani umma unamchukia Polepole. Kwa ufupi wewe ukitokeza Kariakoo ujinasibu kumtukana Polepole ujue watakuaa watu kwa kipigo. In short Gwajiboy, Polepole etc wanajificha kwa sababu kuna kikundi kiovu cha watu wa usalama na polisi etc wanawawinda kuwaua. In short Dkt Samia ndiyo kaharibu sana. Na KIBAYA kabisa, kuendelea kugombea maana yake nadharia ya yeye kumuua Dkt Magufuli ili awe rais ndiyo iko confirmed! Na uzuri wewe na kundi lako mlivyowajinga mkaruhusu sheria ya TISS ipitishwe kuwalinda na speaker etc mkidhani mnajitengenezea kumbe hiyo ndiyo ya kuja kuwashughulikia wauaji wa Dkt Magufuli
 
Kweli ukombozi unakuja
 
Kwa yanayofanywa na Polepole na jinsi CCM ilivyo kimya ni wazi kuwa yana baraka zote toka maeneo ya Ferry. Kama ingekuwa kinyume ungeshamsikia Muliro anapiga mikwara.
 
Sio mkwara tu,asingekua na press mbili bila kumkuta jambo.
Hata filamu ya mpina ilionekana wazi
 
Uchawa ni shida, nani amekuambia Polepole ni adui wa umma?? Maadui wa umma ni wale walio kinyume chale.
 
Back
Top Bottom