Usalama wa Watoto kwenye vyombo vya usafiri

Status
Not open for further replies.

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
0001-17784226679_20210304_173716_0000.png


Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani(WHO) Utumiaji wa viti maalumu vya watoto katika vyombo vya usafiri unaokoa maisha ya mtoto pindi ajali inapotokea kwa asilimia 75%

Viti hivi vina nyenzo muhimu kwa ajili ya kulinda Usalama wa Mtoto anapokuwa kwenye gari kwasababu viti kawaida vya magari havijazingatia Usalama wa Watoto

Wadau wanaiomba Serikali kuhakikisha inahimiza na kusimamia matumizi ya viti maalumu vya watoto kwenye magari binafsi kupitia sheria ya usalama barabarani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom