Foreverfreed
Member
- Aug 20, 2019
- 65
- 108
Habari za wakati huu wanajukwaa.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani.
Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu wanaoitwa watu wasiojulikana,ambapo wanatesa,na hata kudhulumu maisha ya watu wasiojulikana na hatia.polisi wetu wamekuwa wakimya kuhusu mheshimiwa Lisu kuhakikishiwa ulinzi.
Ushauri wangu Ni huu;Kama alivyo shauri mwanajukwaa flani kuwa chama kitangaze tenda kwa makampuni ya ulinzi yenye kutumia silaha za kisasa za ulinzi ili huyu mbeba maono asidhurike pindi anaporejea.Hili Ni wazo jema kabisa na wote wenye mapenzi mema na nchi waliunge mkono.
Kama Kuna wanajukwaa humu wanaohusika na mipango ya ulinzi katika chama walione hili kwa namna ya pekee na kuliwasilisha panapohusika.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake,aaaamin.