Kigogo,mke wa kigogo,mtoto wa kigogo ndio nini.?? Ina maana hata mahakamani watapelekwa kwa majina hayohayo.!!
Mku haya ndio magazeti yetu, na Zitton anasema eti hili ndio gazeti bora kuliko yote bongo, that way nalimiss sana MwanaHalisi lilikuwa linaweka mambo wazi, mpaka ZZK alilichukia.Kigogo,mke wa kigogo,mtoto wa kigogo ndio nini.?? Ina maana hata mahakamani watapelekwa kwa majina hayohayo.!!
Mkuu ni mke wa kamishina Chagonja anafanya kazi pale NBC UDSM Branch, ni mpepe sana huyu mama,
muongeaji kupitiliza na anapenda kutishia sana , kuna siku tulikwanguana nae na kigari chake alitoa maneno mpaka nikamfahamu... anyway nilimlipa kishkaji badae ikawa issue mpaka nikabadili namba ya simu. bora kaumbuka ilikuwa kila siku kuomba pesa... malipo ni hapa hapa dunian?
Kwani ajira za usalama wa taifa toka mwaka 1999 alipokufa nyerere si zinatolewa kwa rushwa na upendeleo???au macho yangu yana makengeza??
Kwa hiyo huyo mheshimiwa sana Kamanda wa Polisi alijua mchezo mzima wa hao kina Baraka,ikiwamo kuomba rushwa wafanikishe vijana kuajiriwa,lakini bado alitoa ruhusa kwa mkewe kuendelea na huo mpango?
Kama ni hivyo basi nchi hii itazinduliwa na kiama! Kamanda wa Polisi anashiriki kutoa rushwa,Kamanda wa Polisi haamini katika haki bali pesa mbele,Kamanda wa Polisi hajiongezi na kutaka kufatilia kwa nini ajira kwa pesa,kamanda wa Polisi anakaa kimya ili watu wake wafaidike, kamanda wa Polisi.