controler JF-Expert Member Jul 3, 2012 1,562 361 Sep 21, 2012 #201 Mimi napenda mshahara ndo maana mara kwa mara nawaletea za jikoni kwa ile ID nyingine.
I INSULIN Member Jun 5, 2011 45 6 Sep 15, 2013 #202 Daah,watz tutaelimika lini?, Graduate anatoa pesa ili apate kazi!!,Kweli nchi hii ni mauza mauza kweli. Ngoja nipite ....
Daah,watz tutaelimika lini?, Graduate anatoa pesa ili apate kazi!!,Kweli nchi hii ni mauza mauza kweli. Ngoja nipite ....