Usalama wa Taifa (TISS) wana maadili, watunza siri na miiko iliyotukuka kuliko maelezo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
 
wewe ni ke au me. Konki Konki Master kinuka pombe a.k.a master mkubwa. Maana kwa hizo sifa za huyo mwanaume kuna kitu
 
Napenda niwapongeze maafisa wa Usalama wa Taifa kwa namna ambavyo huwa wanabehave na kuwa watu wenye maadili yaliyotukuka sana.

Watunza siri , siyo waropokaji, hawajulikani kirahisi na wanafanana sana.

Mchujo wao huwa mkali sana. Wako smart mno na wakichora rada wanaichora vizuri mno bila kuvuja.

Nawapa pongezi nyingi sana.

Nampenda sana yule mlinzi mrefu mweusi ambaye ni wa Mh. Rais ,hasa akiaaga ile miwani yake. Smart and serious.

Waalimu wa Idara hii wameiva kweli.
So what!?
 
Tupe case study mkuu tukuelewe vizuri
 
Back
Top Bottom