Usalama wa Rais: Wale askari wanamzunguka wanakuwa na silaha za moto kweli?

Kila MTU kuna jinc anavyo amka inategemea mood ikoje,wale askari wanaolinda eneo karibu na mh Rais wanaaminiwa vp?

Kuna kile kikosi maalumu sina shaka ila VP wale ambao ci kikosi maalumu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
wanatembea na fimbo tu,tena inaitwa komanyani,siku Rais akiwa maeneo yenu pitiliza moja kwa umfuate wala hamna shida atakusalimia wananchi wake na wale jamaa watakuchekea sana kwa ujasiri wako
 
Ina tia shaka tena wanaongezeka tu, Watu wengi hawajamuelewa mtoa mada ivi inakuaje mtu yuko armed vile anamsogelea mkuu kiasi kile, Laurent kabila aliuliwa na mlinzi wake ofisini
 
Walinzi wa Rais wa Tz hawana jipya zaidi ya kubeba yale mabunduki. Shida ni kuwa ikitokea ambush wanaweza kufyatua hovyo hovyo ndiyo maana huwa nawashangaa sana watu wanaohudhuria mkutano wa JIWE
 
Bongo ulinzi mnatania kuna vitu simple sana ...hata huumizi kichwa... By the way sijaona hata mwenye ulinzi hapa...hivi nikiwa na drone nikafunga grenade moja tu nikairusha nikadondosha hapo mnapolinda linda nini kitatokea🤔🤔 hapo sijaumiza kichwa kut3ngeneza missile ndogo ndogo tu ziwe ni remote control
 
Nawashangaa sana watu wanao hoji ulinz wa raisi wakati huko kwa wenzetu mkojo,mavi,jasho vinalindwa vibaya mno tuko mbal sana kiupeo

Hamna kitu huku ..me nina idea lkn sitak ua mtu yoyote ila ataebisha hta jamaa mwenyewe wachukue tu hata midoli waweke kwa kwa msafara waone nn kitatokea yan gari zote zitakuwa chenga chenga sitaki jua yupo kwa gari gani anaelindwa ila kila gari itakayo kuwa msafaran na madere wale watageuka majivu na vipande vidogo vidogo kama vya njugu
 
Bongo ulinzi mnatania kuna vitu simple sana ...hata huumizi kichwa... By the way sijaona hata mwenye ulinzi hapa...hivi nikiwa na drone nikafunga grenade moja tu nikairusha nikadondosha hapo mnapolinda linda nini kitatokea hapo sijaumiza kichwa kut3ngeneza missile ndogo ndogo tu ziwe ni remote control
Kamsogelee Mh. Raisi ndio utajua wale walinzi ni binadamu halisi au ni midoli.

Usiwachukulie poa kabisa wale walinzi wanaotoa close protection kwa Mh. Raisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom