Usalama wa Rais: Wale askari wanamzunguka wanakuwa na silaha za moto kweli?

Kila MTU kuna jinc anavyo amka inategemea mood ikoje,wale askari wanaolinda eneo karibu na mh Rais wanaaminiwa vp?

Kuna kile kikosi maalumu sina shaka ila VP wale ambao ci kikosi maalumu ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanin huwaamin kikos maalum n hao wengine husiawaamin? Unadhan anachukuliw mtu ovyo kwa ile kazi..

Wale wote wanakuw monitored sana.

Protocol zilivyo, kukiwa na huwepo wa Mh sponsor, mbali na watu ambao wapo duty ya ulinzi wengine hawaruhusiwi kuingia na silaha, hata huwe nawe kikos maalum, kama haupo duty huwezi ingia na silaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ⓙⓘⓣⓐⓘⓓⓘ ⓢⓐⓝⓐ ⓚⓤⓘⓢⓗⓘ ⓝⓐ ⓦⓐⓣⓤ ⓥⓘⓩⓤⓡⓘ ⓗⓤⓣⓞⓗⓘⓣⓐⓙⓘ ⓝⓖⓤⓥⓤ ⓚⓤⓑⓦⓐ ⓨⓐ ⓤⓛⓘⓝⓩⓘ ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom