Usalama wa Rais: Wale askari wanamzunguka wanakuwa na silaha za moto kweli?

wale baka baka ndio walinzi aswa, ila kaunda suti sidhani km wapo kwajili Ya ulinzi, labda ni kuziba nafasi ya mtu kumfikia rais kumgusa, maana wengine wana vitambi Kbisa jamani
Kawachokoze ujue kama vitambi ni mzigo au la!
 
WALE WOTE WANAOMLINDA RAISI NI BINADAMU KAMA WALIVYO BINADAMU WENGINE ILA TOFAUTI YAO NA SISI.....

WAO WAMESOMEA MAMBO YA KUMLINDA RAISI NA HAO WATU NA WAMEPITIA VYUO TOFAUTI KAMA VILE IFM, CBE, UDSM, UCC, OPEN,VETA, DIT, UDOM ,

KATIKA LILE JOPO LINAMLINDA RAISI KUNA WATALAAMU WA IT, TELECOM, ENGINEERS, BULLET SHOOTING,
SELF DEFENCE, DEATH FIGHTERS, SAIKOLOGY, RISK SECURITY,
COUNTER TERRORISM, DEFENCE FORCE

KUHUSU AJIRA ZAO ZINAPATIKANAJE HAPO NDO SIJUI

Sent using Jamii Forums mobile app
Huteuliwa mapema baada ya system kujiridhisha na mwenendo wao. Wanachunguzwa kitambo sana kabla ya kupewa mwelekeo.
 
hakuna kitu zaidi ya porojo, unapo sema hao jamaa ni noma unawaringanisha na nani? raia wa kawaida asiye na mafunzo wala nyenzo

Hii ni ajabu yaani mtu mwenye mafunzo na mamlaka anapiga raia asiye na mafunzo wala mamlaka alafu unasema yuko vzr

tuwalinganishe wao na wenye nafasi kama zao wa nchi nyingine, wetu wanakuwa weupe tu hawana lolote

ila ukiwalinganisha wao na sie tusio na mafunzo ndo wanakuwa noma
Huko nje husoma nao kwenye vyuo mbalimbali duniani na wanafaulu pamoja. Sasa kama weupe si wasingefuzu kama hao wa nje?
 
Hiko hv wale wenye suti nyeusi ni maofisa wa tiss pamoja na bakabaka jukumu lao n kutoa security guard kwa raisi na wako na vifaa maalum vya kudetect mtu mwenye silaha ,na yule kanali nyuma ya raisi sio mlinzi ila ni msaidizi wa raisi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ana mafunzo kama yote. Hata kama n msaidizi ni sehem ya walinz. Likitokea anatakuwa kuchukua hatua zote stahiki.
 
Back
Top Bottom