Hata mimi nilikuwa nafikiri kitambulisho cha NIDA ndo kinahusika kusajili line za simu kwa biometrik, nashangaa tena kuna copy!All New Bio-metric Registration requires FINGER print which tally with NIDA ID number. Thus, its not possible for anyone to use your NIDA ID copy or number to register a new SimCard. Government and MNOs forecasted on this risk sometimes back before Kick off of this project.
Ungesajili na Tigo kwa hiyo unakuwa na uhuru wa kutumia line unayopendaMimi nimesajilia namba tu
Wadau habari za wakati huu.
Naenda kwenye mada moja kwa moja. Leo nimepokea jumbe zenye maana na angalizo jumuishi kama hiyo attachment inavyojieleza.
Sasa swali ninalojiuliza ni kwamba iwapo mimi nimeshajisajili kwa kuchukuliwa alama za vidole kwa nini mtu mwingine ajisajili kwa kutumia namba yangu ya Nida system ishindwe kumreject na hapohapo hatua za awali za kisheria zichukue mkondo wake?
Nawasilisha, ila kama kweli namba moja ya NIDA inaweza kusajili watu wawili basi system hiyo ifanyiwe overhaul.
Karibuni
Kwa sisi tusiojua Kiingereza, "Mpenda pombe" anasema hivi, Usajili mpya kwa kutumia alama za vidole unataka ALAMA YA KIDOLE inayoendana na NAMBA YA KITAMBULISHO CHA NIDA. Hivyo, haiwezekani kwa mtu yeyote kutumia kitambulisho chako cha NIDA au NAMBA kusajili laini mpya.Serikali na MNOs walisha liona hili na siku za nyuma kabla hata mradi huu kuanza. Nadhani nimesaidia kidogo. Halafu nyie mnaoandika KIMOMBO humu hamjui kuwa Kimombo ni wito!All New Bio-metric Registration requires FINGER print which tally with NIDA ID number. Thus, its not possible for anyone to use your NIDA ID copy or number to register a new SimCard. Government and MNOs forecasted on this risk sometimes back before Kick off of this project.
Unatoa Namba na jina tayari unasajiriwa. Je huu utaratibu una njia ya kucheki kama alama za vidole vya aliyejisajiri ni vya huyo anayetumia jina hilo? Vinginevyo hapa pana tatizo. Na pia anayetaka kufanya maovu, atajisajiri kwenye kampuni nyingine ya SIMU ambao mhusika hajajisajiri.Mimi nimesajilia namba tu