Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,654
- 18,805
Mashabiki ndiyo wanaotengeneza mabeef!Watu weusi wana inferiority complex inawasumbua,sijaona ubaguzi wowote hapo zaidi ya kutokujiamini tu......!
Mashabiki ndiyo wanaotengeneza mabeef!Watu weusi wana inferiority complex inawasumbua,sijaona ubaguzi wowote hapo zaidi ya kutokujiamini tu......!
Umeogea point moja muhimu sana! Ngoja kwenye kikao cha Umoja wa Africa tukienda kukaa hii point nitaiwakilishangozi nyeusi tunapenda sana kuwa victims. ubaguzi ni kitu ambacho sisi tunatamani kiwepo ili tupate sababu ya kuendelea kuwalaumu wazungu kwa matatizo yetu. kwa fikra hizi bara la Africa litaendelea kuwa maskini kila siku.
Kama kuna ujinga... basi ni kudai hii picha ina chembe yoyote ya ubaguzi
Huyo dada na bolt ni washikaji, jamaa mwenyewe kazungusha around the world baada ya kuipata hiyo picha
Hakuna kitu kinakera kama inferiority complex na tabia ya baadhi ya sisi weusi kutafuta kiki na kuplay a victim... probably we are more racists than hao wazungu