Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Ni mpango mzuri lakini utakuwa na gharama kubwa Sana, mfano ao wasimamizi wa interview kugharamiwq Kila mkoa, maana yake wanapaswa kuwa wengi Sana ili interview ifanyike siku Moja na Kwa mda uwo uwo , kingine tutaanza kusikia " waliofanyia interview mkoa flani wamepata majibu ya Pepa na Mambo mengine kama hayo" nashauri kama inawezekana wafanye kikanda hata.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hata huko Dodoma watu walikuwa wanapita mitigani kabla ya siku ya interview, alafu Bora gharama ziende kwao wao sio msailiwa..
 
Hata huko Dodoma watu walikuwa wanapita mitigani kabla ya siku ya interview, alafu Bora gharama ziende kwao wao sio msailiwa..
Mimi nauliza huu mfumo wa Usaili Kila Mkoa ushaanza au bado.. na kama bado basi utaanza lini.. maana vijna wengi wanawaza hzi Ajira walizoomba karibuni itakuwaje
 
Kwa pamoja mmethibitishia umma kwamba: Katika nchi yetu na popote pale karibu kila wazo bora la kimaendeleo kuna wazo mbadala wake ambalo nalo aidha ni la kimaendeleo au uoga wa kupoteza maendeleo.

Sasa tujiulize 'demokrasia' itatoboa kweli bila elementi za udikteta?

Mi naamini haijalishi ni demo au dic kinachohitajika katika hizi nchi ni uaminifu. Uaminifu huja kwa namna mbili 1. Watu kwa kupenda maana uaminifu umepewa kiki na sifa kama ilivyo utajiri katika nchi hiyo [Honor, mfano Japan]. 2. Kwa uoga maana kitakachompata asiye mwaminifu ni kibaya mno [Kifo, mfano China].

Jichukulie kama shujaa wa taifa pindi ukifanya lolote la kuongeza heshima kwa wanaofanya makubwa kwa nchi. Jichukulie coward unaposhadadia habari yoyote ya kinyume na haki. Haki huinua taifa.
Umeongea nn mkuu
 
Sasa si Bora gharama iingie Serikali maana wao ndo wenye shida ya wataalam wa kada husika kuliko kuingia gharama waombaji.. Licha ya hyo interview panel hawawi wengi kihvyo.. kana kwamba Serikali itakuwa costed sana
Aiseemkuu lini tra wataitwamnk cjapiga msuli kbsa na sijui kwanin sina mudi na msuli
 
Aiseemkuu lini tra wataitwamnk cjapiga msuli kbsa na sijui kwanin sina mudi na msuli
Zile za TRA mwezi July lazima muitwe Ila sijajua kuhusu huu utaratibu wa kufanya saili na mikoani kama utakuwa considered
 
Unajua ile ni mojawapo ya conditions walioiweka lazima uattach certified transcript kama ya diploma,degree,postigraduate n.k,sasa kama hujaiattach usipoitwa usije ukacomplain but ikitokea umeitwa kwnye interview kule napo wanakagua sasa sjui utajitetea vp labda mkaguzi akuonee huruma useme nimekisahau au sjui utajitetea vp.
Ninacho nimeshakipata saiz

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Ni mpango mzuri lakini utakuwa na gharama kubwa Sana, mfano ao wasimamizi wa interview kugharamiwq Kila mkoa, maana yake wanapaswa kuwa wengi Sana ili interview ifanyike siku Moja na Kwa mda uwo uwo , kingine tutaanza kusikia " waliofanyia interview mkoa flani wamepata majibu ya Pepa na Mambo mengine kama hayo" nashauri kama inawezekana wafanye kikanda hata.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Yaaah kikanda itakuwa poA sana
 
Kwa uzoefu wangu hii system itapunguza ukabila kwa kiasi kikubwa mno.
Mnapofanya kila mkoa usaili wake unatoa room kwa makabila yote kutoa angalau mtu mmoja katika kazi fulani.

Hii ya kujazana Dom ilipelekea hapa ofisini kwetu kujaa WACHAGA afu vilaza tu, kisa kubebana kwa kisingizio cha wamefaulu paper za UTUMISHI kumbe michongo tu.

Kila mkoa ufanye kivyake kama ilivyokuwa kwa majeshi yetu zamani, tulianzia Wilayani kwetu kisha Mkoani then unaingia vikosini direct, hii ilifanya majeshi yetu kuwa na makabila yote na watu wa aina zote.

Haiwezekani nafasi za kazi 100 afu kabila moja litoe watu 60 kati ya 100, lazima tupaze sauti kukemea hizi fix za kijinga. Na ndio maana Zanzibar wakaona mapema wafanye kwao ili kulinda nafasi zao.

Tz kuna taasisi wamejazana Wachanga kisenge hadi wengine unajiuliza huyu alipataje kazi mbona hajielewi?

Nawasilisha na nimejiandaa kwa matusi na nitayajibu with immediate effect na kwa namna mtu atakavyakuja.
Makabila mengine hayakuomba au
 
Dah! Kwa niliyoyaona kwenye hizi nafasi za sensa,bora usaili ufanyike dodoma kama ilivyozoeleka.
 
Dah! Kwa niliyoyaona kwenye hizi nafasi za sensa,bora usaili ufanyike dodoma kama ilivyozoeleka.
Mwenyewe nakubali 100% Huku mikoani(Hlamashauri na vijijini Kuna kujuana sana) mMheshiwa Waziri J.Mhagama acha saili zote zifanyike hukohuko Udodoma kama. Kule PSRS hakuna usengeusenge kama huko Halmashauri
 
Back
Top Bottom