Hili naona lina ukweli ndani ykeSystem Iliyopo kwa nchi kama hii ndio bora zaidi kwani ipo trusted na centralized kuliko hio mnayolilia mtapigwa hadi mlie subirini muone licha ya changamoto za nauli ila watoto wa masikini wengi tu wametoboa
Cha kuchafa ni kuongeza koziNaongezea
Kama kozi zinaingiliana ziko related kwenye kazi husika ku apply iwezekane wasi limit course moja
Hii imekaajeUSAILI UTAKAOFANYIKA KILA MKOA NI MCHUJO TU KWENDA DODOMA KUPO PALE PALE BAADA YA MCHUJO
Na mimi nliwaza hii ishu,pia mitian inaweza kuvujaVijana mnafurahia sana ila kuna side effects asee.
Hapa watachujwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa M/kiti CCM Mkoa, Wilaya kisha majina yatatumwa ngazi ya Kanda, kisha yatatumwa ngazi ya Taifa. Watoto wa upinzani mnaelewa?
Na mimi nliwaza hii ishu,pia mitian inaweza kuvuja
Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Kwahio watahiniwa wataenda na Laptop zao au kutumia Simu zao?Mtihan kuvuja sahau.. wanaweka online aptitude test ya mfano dk 50.. inapigwa nchi nzima kwa wakati mmoja wakiset muda uwe umemaliz au laa inaclose na unapata majibu mda huo huo
Kwahio watahiniwa wataenda na Laptop zao au kutumia Simu zao?
Nitapata mia wakifanya hivyoUtajua mwenyewe kam unatumia simu yako au unaenda internet cafe...
Wameisha wazee wa copy and pasteNitapata mia wakifanya hivyo
Nitapata mia wakifanya hivyo
Tulia wewe, Au wewe kipindi unasoma ulikuwa unalalamika sababu ya kufeli...?Kwa kulalama wabongo hamjambo, zikitoka izi nafasi mka itwa mka feli mtaanza lalama pia.. izi nafasi zikitoka jua kuja itwa tena ni Muda komaa na maandalizi acha uharaka
Hii ni nzuri mno.walifanya kagereza mwaka huu inasaidia sana watu fulani kuchukua nafasi na kuingizana kijamaaa kisa kabila moja au ndugu w rafiki yake.hii sistem ifanyike kila kazi inayotoka kuhusu serikali....Kwa uzoefu wangu hii system itapunguza ukabila kwa kiasi kikubwa mno.
Mnapofanya kila mkoa usaili wake unatoa room kwa makabila yote kutoa angalau mtu mmoja katika kazi fulani.
Hii ya kujazana Dom ilipelekea hapa ofisini kwetu kujaa WACHAGA afu vilaza tu, kisa kubebana kwa kisingizio cha wamefaulu paper za UTUMISHI kumbe michongo tu.
Kila mkoa ufanye kivyake kama ilivyokuwa kwa majeshi yetu zamani, tulianzia Wilayani kwetu kisha Mkoani then unaingia vikosini direct, hii ilifanya majeshi yetu kuwa na makabila yote na watu wa aina zote.
Haiwezekani nafasi za kazi 100 afu kabila moja litoe watu 60 kati ya 100, lazima tupaze sauti kukemea hizi fix za kijinga. Na ndio maana Zanzibar wakaona mapema wafanye kwao ili kulinda nafasi zao.
Tz kuna taasisi wamejazana Wachanga kisenge hadi wengine unajiuliza huyu alipataje kazi mbona hajielewi?
Nawasilisha na nimejiandaa kwa matusi na nitayajibu with immediate effect na kwa namna mtu atakavyakuja.
Hili ni la msingi kabisaWarekebishe na ajira portal mtu aweze na kudelete vyeti vyake
Huyo anayelalama usikute hajawahi hudhuria saili hata moja. Hajui machungu ya kupoteza laki3 laki4 na nafasi unakosa.Kuwe na side effect au chochot kile itakujulikana mbele ya safari, kikubwa wametuokoa tena sana nyie mnaoponda siwaelewi hata kidogo, kwenda dom si mchezo jaman ohoo