Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Kwa uzoefu wangu hii system itapunguza ukabila kwa kiasi kikubwa mno.
Mnapofanya kila mkoa usaili wake unatoa room kwa makabila yote kutoa angalau mtu mmoja katika kazi fulani.

Hii ya kujazana Dom ilipelekea hapa ofisini kwetu kujaa WACHAGA afu vilaza tu, kisa kubebana kwa kisingizio cha wamefaulu paper za UTUMISHI kumbe michongo tu.

Kila mkoa ufanye kivyake kama ilivyokuwa kwa majeshi yetu zamani, tulianzia Wilayani kwetu kisha Mkoani then unaingia vikosini direct, hii ilifanya majeshi yetu kuwa na makabila yote na watu wa aina zote.

Haiwezekani nafasi za kazi 100 afu kabila moja litoe watu 60 kati ya 100, lazima tupaze sauti kukemea hizi fix za kijinga. Na ndio maana Zanzibar wakaona mapema wafanye kwao ili kulinda nafasi zao.

Tz kuna taasisi wamejazana Wachanga kisenge hadi wengine unajiuliza huyu alipataje kazi mbona hajielewi?

Nawasilisha na nimejiandaa kwa matusi na nitayajibu with immediate effect na kwa namna mtu atakavyakuja.
Kwahiyo mtu apate 2% kisa kabila apate kazi?
 
Haiwezi kuwa hivyo na hata hujui usaili unaendeshwa vipi.

Ushawahi ona Panel ya Usaili ikakosa kutoa muajiriwa?? Unahisi watu wote wamefaulu kwa uwiano sawa?? La hasha bali kila Panel inapewa kiwango cha watu wanaopaswa kuajiriwa kutoka pannel hiyo.

Hata tulivyoenda JKT ile ya KUJITOLEA kila wilaya inapewa idadi maalum ya wanaotakiwa na huwezi kuwakosa hata iwe vipi.

Hoja yako inaonesha umejaza mavi kichwani.
 
Ni sahihi kichwani nina mavi, ila usichoke kunijibu kama huwa panel zinapewa idadi za watu, kwanini huwa kuna re advertisement za ajira sasa Mkuu?

Unajaribu kufananisha usahili wa sehemu ambayo msingi ni nguvu na si maarifa kichwani? Pia, nani alikuambia mikoani hakuna mchanganyiko wa makabila, ipo possibility usahili ukafanyika Bukoba na wakapata Wachagga ama Wazaramo wanaokaa Bukoba...

Asante sana.
 
Ushawahi fanya Usaili mpaka Oral kwa nafasi let say 20 na nyie mlioenda kufanya usaili huo mkafikia idadi labda 80, afu bado hizo nafasi zikarudiwa kutangazwa??

99% kazi zinazokuwa Re-advertised ni zinazohitaji zaidi uzoefu mkubwa, labda miaka 5 kazini kwenda juu.

Usikurupuke ukaandika bila kutafiti, haya niambie ni kazi gani ambayo inamuhitaji fresh graduate afu ikawa re-advertsed wakati waombaji walikuwa wengi??

Kuhusu uwezekano wa kuwepo watu wa makabila tofauti haiwezi kuwazidi wazawa na ndio maana tunasema itapunguza kwa kiasi kikubwa au umeambiwa ITAONDOA??
 
Mtihan kuvuja sahau.. wanaweka online aptitude test ya mfano dk 50.. inapigwa nchi nzima kwa wakati mmoja wakiset muda uwe umemaliz au laa inaclose na unapata majibu mda huo huo
Vijijini bado ngoma nzito . Umeme na network kwa baadhi ya vijiji ni changamoto
 
Ushawahi fanya Usaili mpaka Oral kwa nafasi let say 20 na nyie mlioenda kufanya usaili huo mkafikia idadi labda 80, afu bado hizo nafasi zikarudiwa kutangazwa??

99% kazi zinazokuwa Re-advertised ni zinazohitaji zaidi uzoefu mkubwa, labda miaka 5 kazini kwenda juu.

Usikurupuke ukaandika bila kutafiti, haya niambie ni kazi gani ambayo inamuhitaji fresh graduate afu ikawa re-advertsed wakati waombaji walikuwa wengi??

Kuhusu uwezekano wa kuwepo watu wa makabila tofauti haiwezi kuwazidi wazawa na ndio maana tunasema itapunguza kwa kiasi kikubwa au umeambiwa ITAONDOA??

Mzee mbona unahamisha magoli sasa twende mdogo mdogo, kwanini re advertisement wakati panel inahitaji watu?

Kwahiyo bado hauamini uwezo wa mtu na sio kabila ndio litakalo mbeba? Kumbuka swali langu yaani mtu apate 2% abebwe sababu ya Kabila au sababu panel inahitaji watu kweli???!!! (Kwani mambo ya makabila nchi hii yalishapitwa na wakati, siku hizi kuna familia na marafiki tuu)

Unahitaji umakini zaidi kuliko jazba, weka mpira chini uangalie wa kumpa pasi twende kimajadiliano kama pasi za ile Barcelona Mkuu.
 
we jamaa unachekesha sana ujue. Sisi tulio makazini tunajua tunayoyasema hapa, unaosema wamefaulu katika kiwango hiko kikubwa ndio hao VILAZA huku maofisini sasa.

Ndio maana watu wanataka mchakato ufumuliwe maana watu wanapata kazi kwa vimemo, kuuziwa paper nk.

Dawa imeanza kupatikana sasa, ambapo sasa mtashindanishwa kwenu wenyewe muuane kwa uchache wa nafasi za kazi nk.

Kama ulikuwa hujui, mtu aliyemaliza degree ana sifa za kuajiriwa bila hata usaili wowote, usaili unakuja kutokana na wingi wa waombaji na ufinyu wa nafasi.
Walimu, Madaktari, wauguzi hawafanyi usaili kwa maana ya kuwa degree yao inatosha kabisa kuaminiwa kuwa wanaweza.

Hivyo usikariri sana.

Nani amekwambia nchi hii mambo ya Ukabila yamepitwa na wakati?
 
Mkuu acha kucheka na turejee kwenye mada jibu maswali yangu, umetoa maelezo marefu lakini swali langu la msingi haujalijibu Mkuu, hebu kuwa brief and answer the question ndio tuje kwenye hizo mada nyingine ya hiyo elimu unayonipa.

Mimi huwa napenda mijadala inayojibu hoja na sio kuzunguka kujibu hoja Mkuu.
Natanguliza shukrani zangu za kipekee Mkuu.
 
Angalau Mungu amesikia maombi yetu sasa maana mateso ya kusafiri kila wakati kwenda dodoma na garama nyingine za huko yalitucost sana jobseekers.
Umewaza kuhusu KUJUANA na membo mengine yanahusiana na kubebana?
Tegemea ndugu,jamàa,wanachama wa chama flanin.k kupita.Hiyo nauli unayofurahia kuokoa,gharama yake ni ndogo sana,ukilinganisha na madhara ya hiyo decentralization inayoenda kufanyika,tena kwa utawala wa mama ambaye kula kulingana na urefu wa kamba inaruhusiwa.Pole sana.
 
sijui wamejiandaaje kupambana na hii changamoto? ila muda mwingine naona pia ni fear of unknown mbona NECTA wanapeleka mitihani hadi vijijini hii pia inapaswa kuwa very rightly supervised.
 
Mkuu acha kucheka na turejee kwenye mada jibu maswali yangu, umetoa maelezo marefu lakini swali langu la msingi haujalijibu Mkuu, hebu kuwa brief and answer the question ndio tuje kwenye hizo mada nyingine ya hiyo elimu unayonipa.

Mimi huwa napenda mijadala inayojibu hoja na sio kuzunguka kujibu hoja Mkuu.
Natanguliza shukrani zangu za kipekee Mkuu.
Nimejibu hilo swali tangu comment yangu ya kwanza, ufaulu wa kujuana ndio msingi wa watu kupata hizo kazi. Wengi wanaopata ni connection, hivyo hii ya kuwapelekea kila mkoa kivyake itapunguza huo ujinga.

We kichwa chako hakielewi content nzima zaidi ya kipande cha maneno??
 
Kila jibu lako linanipa sababu ya kukuuliza maswali magumu zaidi, ila acha tuu ninyamaze na tuishie hapa, japo nikukumbushe haukujibu swali langu la msingi.

Jumapili njema Mkuu.
 
Nimekujibu kwa ujumla, majority sio kwamba wanafeli hizo paper ni ile hali ya kutaka mtu fulani apate hivyo mtu mwingine huwekewa marks ndogo nk.
Nimeshuhudia hayo, na hata hapa jamvini zipo nyuzi kibao za uuzaji wa mitihani ile.
 
Mtihan kuvuja sahau.. wanaweka online aptitude test ya mfano dk 50.. inapigwa nchi nzima kwa wakati mmoja wakiset muda uwe umemaliz au laa inaclose na unapata majibu mda huo huo
Mkuu, amka! Bado upo ndotoni? Amka asee.
 
Umewaza kuhusu KUJUANA na membo mengine yanahusiana na kubebana?
Tegemea ndugu,jamàa,wanachama wa chama flanin.k kupita.Hiyo nauli unayofurahia kuokoa,gharama yake ni ndogo sana,ukilinganisha na madhara ya hiyo decentralization inayoenda kufanyika,tena kwa utawala wa mama ambaye kula kulingana na urefu wa kamba inaruhusiwa.Pole sana.
Mkuu, acha wafurahie. Ndio hao hao wataanza laumu huu utaratibu mpya. Time will tell.
 
Back
Top Bottom