Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Usaili Utumishi kufanyika kila mkoa

Naomba Kuuliza swali mfano labda lets say Nafasi ni Moja ile ya Afisa Mambo ya Nnje II huo Usahili wa Kila Mkoa unafanyika for one position kweli au tunahama Teknojia ya Physical interview tunaenda Modernized one "Zoom na mengineyo"kwasababu mi naasume kwamba Nafasi 1 lets say wameshortlist watu 590 so watafanya kikanda na kulipa recruiters kwenda Mwanza,Mbeya,Arusha,Dsm kudahili Only 1Position au!!!??
 
Vijana mnafurahia sana ila kuna side effects asee.
Hapa watachujwa watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa M/kiti CCM Mkoa, Wilaya kisha majina yatatumwa ngazi ya Kanda, kisha yatatumwa ngazi ya Taifa. Watoto wa upinzani mnaelewa?
Siyo kweli. Kinachofanyika ni kuwa usaili wa awali (kuandika) unafanywa mkoani ili kupata idadi ya watakaofaulu kwenda usaili wa mahojiano.

Usaili wa kufanywa kwa mkoa au kanda inakupa chance kubwa ya kuingia round ya pili
 
Apa si ndo safi sio unaenda Dom paper inakupiga inaumiza htr
 
Siyo kweli. Kinachofanyika ni kuwa usaili wa awali (kuandika) unafanywa mkoani ili kupata idadi ya watakaofaulu kwenda usaili wa mahojiano.

Usaili wa kufanywa kwa mkoa au kanda inakupa chance kubwa ya kuingia round ya pili
Ungesoma vizuri nilichoandika. Hio written interview kama unavosema ikianzia ngazi ya Mkoa, huku huku ndio watapewa kipaumbele nilowataja huko mwanzo. Hio idadi unayoisema ndio hiyo hiyo itakuwa na watoto, ndugu, jamaa na marafiki wengi wa viongozi wa chama tawala.
 
Kwahiyo mkuu, unataka kutuambia huko Dodoma watoto, ndugu wa viongozi wa chama tawala hawawezi kufanyiwa favor!!?
 
Usaili wa vitendo au practical kwa fani wanazopitia round 3 yani written, practical wakifaulu hizi round pili wanaenda oral itakuaje? Practical watafanyia huko mikoani au Dodoma?
 
Ungesoma vizuri nilichoandika. Hio written interview kama unavosema ikianzia ngazi ya Mkoa, huku huku ndio watapewa kipaumbele nilowataja huko mwanzo. Hio idadi unayoisema ndio hiyo hiyo itakuwa na watoto, ndugu, jamaa na marafiki wengi wa viongozi wa chama tawala.
Hayo ni mawazo dhaifu
 
Kwahiyo mkuu, unataka kutuambia huko Dodoma watoto, ndugu wa viongozi wa chama tawala hawawezi kufanyiwa favor!!?
Tunachokizungumzia ni huu utaratibu mpya uliokuja ambao watu wanaufurahia kwa kuangalia nafuu ya nauli tu. Huko Dom wanapata favor ila at least pako centralized.
 
Kutokana na makundi ya vijana yanayokusanyika Mkoa wa Dodoma kuudhuria usaili kwenye TUME YA UTUMISHI WA UMMA, Serikali umeamua baada ya bajeti kupita Tume iandae mpango usaili uweze kufanyika mikoa wanapotokea wasailiwa.View attachment 2270664
bora hili kuliko kwenda kujazana dodoma na kupotezeana tu nauli nafasi 30 watahiniwa 3000
 
kuedit mbna unaweza we kinakushinda nn kuedit kufuta ndio haiwezekani maana kuna raia walikua kazi zikitoka za diploma wanafuta degree wanaomba za diploma mpaka watakapoitwa usaili, zikitoka za digree wanaweka cha degree mpaka watakapoitwa usail
hiyo aitakiwi tunabania nafasi kama unadegree omba degree tu kama unadiploma omba diploma tu
Hata kuedit wamebana
 
Nauliza unawez kuapply nafsii na vyeti cerify bilaa transcript yaan uappy na vyeti tu na ukaitwa

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
Unajua ile ni mojawapo ya conditions walioiweka lazima uattach certified transcript kama ya diploma,degree,postigraduate n.k,sasa kama hujaiattach usipoitwa usije ukacomplain but ikitokea umeitwa kwnye interview kule napo wanakagua sasa sjui utajitetea vp labda mkaguzi akuonee huruma useme nimekisahau au sjui utajitetea vp.
 
Ni mpango mzuri lakini utakuwa na gharama kubwa Sana, mfano ao wasimamizi wa interview kugharamiwq Kila mkoa, maana yake wanapaswa kuwa wengi Sana ili interview ifanyike siku Moja na Kwa mda uwo uwo , kingine tutaanza kusikia " waliofanyia interview mkoa flani wamepata majibu ya Pepa na Mambo mengine kama hayo" nashauri kama inawezekana wafanye kikanda hata.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Sasa si Bora gharama iingie Serikali maana wao ndo wenye shida ya wataalam wa kada husika kuliko kuingia gharama waombaji.. Licha ya hyo interview panel hawawi wengi kihvyo.. kana kwamba Serikali itakuwa costed sana
 
Back
Top Bottom