Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

Uhamiaji utaratibu wao wanatoa TANZANIA nzima na usahili unafanyika Dodoma

Namaanisha wanzingatia nini kwenye majina au watakaotokea kwenye PDF ndio hao hao watakaoenda depo ? Au kuna michujo ? Na kama ipo nj michujo ipi ?
 
Kuna Uzi flani wa ajira za polisi humu jamii forum wengi WAPO police wachache wamebaki ndo wanatukatisha tamaa
Wengiii washaenda Ccp kwenye ule uzii....depo la mwaka jana mwez wa 3 ,9 na ile ya mwshonii
 
Back
Top Bottom