Usahihi wa taarifa toka Nkasi

Usahihi wa taarifa toka Nkasi

Mbona hujaleta picha!? Hiyo ya kuwapa adhabu bado ni mbaya.. huyo DC lazima katenda mabaya mmekuja kutudanganya. Weka picha zote za hayo maneno yako tuyaone.. na wewe ni nani kuja kukanusha yaani cheo chako!?

Ila umeruka kuandika kilichojiri huko walipoenda kuwafata watu mnawapa adhabu kwani ameshindwa kuongea nao vizuri!? Na je ni kweli mlivuruga na kukatisha watu kununua bidhaaa? Kwanini mlipanga siku moja ya mwezi wao kujinunulia bidhaaa kama sio uonevu.

Weka picha au kideo kwani hamkurekodi tuwaone kazini hapo kusaidia!? . maelezo yako hayajitoshelezi kabisaaaaaaa kabisaaaa. Hao wanaojitokeza kwa wingi weka picha zao na majina waulizwe. Natamani mapaparazi waende huko kuhoji wananchi. Na kichurachura mliwarylukisha kilomita ngapi!? Huo ni uonevu haiendi kueleweka wanajeshi wapo eti mkaenda kusaka wananchi imekaa kiuongo.

Tetesi: - Nkasi: Mkuu wa wilaya aamuru wananchi kupewa adhabu na wanajeshi
 
Akili za kushikiwa taabu kweli kweli. Yaani kwako mtu akitaka kufanya shughuli ya ujenzi anaanza na kuruka kichura.? Utetezi feki wa aliyekutuma anasema wananchi walikwenda kulewa, unawarushaje kichura walevi kisha uwape Kazi? Halafu kwa nini mnataka kuwafanya Wafipa ni watu Wa ovyo kiasi hicho? Mara muwaambie wanazaa kama panya, Mara ni walevi!! Kama mnaona hawafai kuongozwa na nyie watakatifu ombeni uhamisho muwaache hao walevi mkaongoze watakatifu wenzenu. Manakanusha na kutetea vitendo vya kidhalimu kwa vile tu vimetendwa na mtu mwenye cheo? Aibu gani hii??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kichura chura sio adhabu mkuu! Ni zoezi kama zoezi lingine.
 
Mbona hujaleta picha!? Hiyo ya kuwapa adhabu bado ni mbaya.. huyo DC lazima katenda mabaya mmekuja kutudanganya. Weka picha zote za hayo maneno yako tuyaone.. na wewe ni nani kuja kukanusha yaani cheo chako!?

Ila umeruka kuandika kilichojiri huko walipoenda kuwafata watu mnawapa adhabu kwani ameshindwa kuongea nao vizuri!? Na je ni kweli mlivuruga na kukatisha watu kununua bidhaaa? Kwanini mlipanga siku moja ya mwezi wao kujinunulia bidhaaa kama sio uonevu.

Weka picha au kideo kwani hamkurekodi tuwaone kazini hapo kusaidia!? . maelezo yako hayajitoshelezi kabisaaaaaaa kabisaaaa. Hao wanaojitokeza kwa wingi weka picha zao na majina waulizwe. Natamani mapaparazi waende huko kuhoji wananchi. Na kichurachura mliwarylukisha kilomita ngapi!? Huo ni uonevu haiendi kueleweka wanajeshi wapo eti mkaenda kusaka wananchi imekaa kiuongo.

Tetesi: - Nkasi: Mkuu wa wilaya aamuru wananchi kupewa adhabu na wanajeshi
Naona huyu DC akili zake zinafanana na Bashite,angeletwa dar aje kumsaidia RC wa dar,maana hata huyu wa dar alishawahi kusema kuwa wale watumishi wa Kilimanjaro walionyanyua mabango wakidai maboresho ya mshahara kwa mkulu,wangefanya hivyo mkoani kwake basi angewachapa vibogo.
 
Uliyemtaja simfahamu.
 
Mbona hujaleta picha!? Hiyo ya kuwapa adhabu bado ni mbaya.. huyo DC lazima katenda mabaya mmekuja kutudanganya. Weka picha zote za hayo maneno yako tuyaone.. na wewe ni nani kuja kukanusha yaani cheo chako!?

Ila umeruka kuandika kilichojiri huko walipoenda kuwafata watu mnawapa adhabu kwani ameshindwa kuongea nao vizuri!? Na je ni kweli mlivuruga na kukatisha watu kununua bidhaaa? Kwanini mlipanga siku moja ya mwezi wao kujinunulia bidhaaa kama sio uonevu.

Weka picha au kideo kwani hamkurekodi tuwaone kazini hapo kusaidia!? . maelezo yako hayajitoshelezi kabisaaaaaaa kabisaaaa. Hao wanaojitokeza kwa wingi weka picha zao na majina waulizwe. Natamani mapaparazi waende huko kuhoji wananchi. Na kichurachura mliwarylukisha kilomita ngapi!? Huo ni uonevu haiendi kueleweka wanajeshi wapo eti mkaenda kusaka wananchi imekaa kiuongo.

Tetesi: - Nkasi: Mkuu wa wilaya aamuru wananchi kupewa adhabu na wanajeshi
Coco, nimepata taarifa sasa hivi toka eneo la tukio kuwa kuna mwananchi alizimia katika utesaji huo ambapo Mkuu Wa wilaya alikuwa anatoa adhabu. Akipuliza filimbi watu wanalala chini wanagalagala, akipuliza wanainuka wanaruka kichura. Wakanushe na hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushahidi si lazima kuwe na picha kwani wajibu tuhuma wanakiri kuwatumia servicemen. Na hapa walikuwa wanajibu Uzi uliosimamishwa ambao ndio ulioibua sakata hili lakini Mods wakausimamisha na kubakisha huu ulioanzishwa na watetezi. Uzi wa awali ulitoa taarifa ya nini kilichotokea huko mnadani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na servicemen hawawezi kufanya chochote bila kuamrishwa na wanajeshi.
 
Akili ndogo huwez kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja ungeenda field ukasikilize wananchi wewe mwenyewe maana hadi sasa habari zinakanganya huki na huyo adrian kaja kufukia mashimo kamanilivyo kawaida ya watanzania.
Wewe umeshaenda kwenye field?? Mpaka unasema akili ndogo!! Una weza kuanalyse taarifa mbili na ukajua ukweli uko vipi huhitaji kwenda field kwa kila kitu. Ila kwa reasoning yako may be unahitaji kwenda field ndio ujue ukweli uko je!!
 
Serikali inasisitiza kushirikisha wananchi katika luleta maendeleo yao ikiwa elimu(shule), afya(zahanati,kituo cha afya,hospitali,usafi wa mazingira,kutunza vyanzo vya maji) n.k.

Kwa sbb maendeleo vijijini bado yako nyuma na mafundi/rasilimali watu bado ndogo haina budi wanakijiji kushiriki.

Huyu mkuu wa wilaya na mkuu wake wa mkoa sio leo wanashirkiana na wananchi kujenga maendeleo yao... wamekuwa wakifanikiwa kujenga vyumba vya madarasa na tundu vya vyoo mashuleni na madawati. Iweje hii ya leo ionekane ajabu.
Ona hii....

Mkuu wa wilaya hongera, endelea na kazi nzuri ya kuiendeleza sumbawanga.
 
Coco, nimepata taarifa sasa hivi toka eneo la tukio kuwa kuna mwananchi alizimia katika utesaji huo ambapo Mkuu Wa wilaya alikuwa anatoa adhabu. Akipuliza filimbi watu wanalala chini wanagalagala, akipuliza wanainuka wanaruka kichura. Wakanushe na hili.

Sent using Jamii Forums mobile app

Duh mbaya sana.. naona mleta mada ameshidwa kukanusha hadi dk hii... ikimaanisha ni kweli na hataki kujaribu kukujibu ukaongeza mengine yaliyotokea.
 
Serikali inasisitiza kushirikisha wananchi katika luleta maendeleo yao ikiwa elimu(shule), afya(zahanati,kituo cha afya,hospitali,usafi wa mazingira,kutunza vyanzo vya maji) n.k.

Kwa sbb maendeleo vijijini bado yako nyuma na mafundi/rasilimali watu bado ndogo haina budi wanakijiji kushiriki.

Huyu mkuu wa wilaya na mkuu wake wa mkoa sio leo wanashirkiana na wananchi kujenga maendeleo yao... wamekuwa wakifanikiwa kujenga vyumba vya madarasa na tundu vya vyoo mashuleni na madawati. Iweje hii ya leo ionekane ajabu.
Ona hii....

Mkuu wa wilaya hongera, endelea na kazi nzuri ya kuiendeleza sumbawanga.

Na aendelee kutoa adhabu za kijeshi kwa wananchi kwa kisingizio cha maendeleo. Hakuna anayepinga maendeleo ila maendeleo kwa gharama ya maumivu kwa raia ni udhalimu. Yeye mwenyewe anajua alichokifanya na kama kweli ni mcha Mungu atoke aseme kweli aliwadhalilisha wananchi na siyo hizi ngonjera anazowatuma mumpambe. Ukifanya vizuri mahali Fulani, halafu mahali pengine ukaumiza wananchi usiambiwe kwa vile uliwahi kufanya vizuri? Aliyekutuma kakupoteza au wewe ndo Mkuu Wa wilaya mwenyewe uliyetesa watu na kuwaamuru wakatoliki wafanye Kazi jumapili na bado unajiona uko sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh mbaya sana.. naona mleta mada ameshidwa kukanusha hadi dk hii... ikimaanisha ni kweli na hataki kujaribu kukujibu ukaongeza mengine yaliyotokea.
Coco, acha aendelee na usanii wake wakati watu wameumia na asidhani Wananchi ni wajinga kiasi anachofikiri yeye. Kesho nitakuwa Sumbawanga na full story itakuwa mezani. Yeye aweke hata watu wa kutuzuia kufika hapo kijijini wakati tunatokea Sumbawanga. Lakini teknolojia imepanuka tutapata hata mwananchi mmoja aliyechukua matukio kwa Simu maana wengine walitoka maeneo ya mbali na hapo kijijini kwa shughuli za biashara ikiwemo wauza mitumba toka Sumbawanga na wanunuzi ya ng'ombe hapo mnadani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wewe mleta ufafanuzi hapa ndio umeharibu kabisa. Yaani una kiri kulikuwa na kulazimishwa na kuteswa kwenda kujenga hicho kituo, lakini ukaharibu kwa kuleta ushabiki wa kumtetea mkuu wa wilaya kishamba. Kwa mfano...

1/Yaani taarifa nzima imejichanganya. Mara vijana wamekwenda kunywa pombe, mara watu wamechukuliwa Gulioni, mara Askari (service men!), Mara hawajapigwa lakini wamerushwa vichura chura nk. Ni mchanganyiko kuliko usahihisho.

2/Mleta ufafanuzi hapa husemi wewe ni nani katika ufafanuzi huu. Wewe ni mkuu wa wilaya hiyo? Wewe ni msemaji wake? Wewe ni shuhuda? Wewe ni mleta mada tu lakini una source?

3/Taarifa hii ya ufafanuzi imetolewa na upande wa mkuu wa wilaya ambayo ndio inayodaiwa kutesa watu. Nini maana ya story kuwa balanced?

4/Kama shughuli ilikuwa ni ya kujitolea, kwanini watu wasakwe, warushwe rushwe kichura, wakimbizwe masokoni, Wahukumiwe kwa kwenda kilabuni?

5/Hivi ukaidi ni nini katika tukio hili? Kama suala ni kuombwa kujitolea, na mtu akakataa kujitolea ili aendelee na shughuli zake za kutafuta pesa, kuna kosa gani hapo?
Umetumia kichwa vizuri kuhoji.
 
Wewe umeshaenda kwenye field?? Mpaka unasema akili ndogo!! Una weza kuanalyse taarifa mbili na ukajua ukweli uko vipi huhitaji kwenda field kwa kila kitu. Ila kwa reasoning yako may be unahitaji kwenda field ndio ujue ukweli uko je!!
Acha kurukaruka nenda nkasi ukapate taarifa kamili ndio uanze kuhukumu vinginevyo acha tu yaende yalivyo
 
Na aendelee kutoa adhabu za kijeshi kwa wananchi kwa kisingizio cha maendeleo. Hakuna anayepinga maendeleo ila maendeleo kwa gharama ya maumivu kwa raia ni udhalimu. Yeye mwenyewe anajua alichokifanya na kama kweli ni mcha Mungu atoke aseme kweli aliwadhalilisha wananchi na siyo hizi ngonjera anazowatuma mumpambe. Ukifanya vizuri mahali Fulani, halafu mahali pengine ukaumiza wananchi usiambiwe kwa vile uliwahi kufanya vizuri? Aliyekutuma kakupoteza au wewe ndo Mkuu Wa wilaya mwenyewe uliyetesa watu na kuwaamuru wakatoliki wafanye Kazi jumapili na bado unajiona uko sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Unataka maendeleo yaje kwa kuchekacheka tu lazima uyapiganie. kuna mtu anapata maendeleo hivihivi kwa kukaa barazani na kunywa pombe, lazima ahangaikie.

Wewe unaonekana zebe kabisa. Kwanza hata maandiko yako yanaonyesha kutojali, mvivu, kutotaka maendeleo ya wanakijiji na unaonekana mhuni tu usiyefikiri.

Ikiwa walikubaliana na mkuu wa wilaya yao ilibidi watii makubaliano yao istoshe mkuu wao wa wilaya naye anashirikiana nao katika ujenzi wa zahanati. Kama kuna mnada wangejadiliana iahirishwe mpaka siku inayofuata.

Zahanati ni jambo jema ya kuwahudumia haohao wanaolalamika. Watoke jasho sasa hivi wafaidike baadae. Musipofanyiwa mutaanza kulialia serikali imewatenga haiwajali watu wake.

Mimi sio mkuu wa wilaya, wala sio mpambe wake, wala sikai eneo hilo wala mkoa huo wala sijawahi kuwasiliana nae.

Tusitetee uzembe.
 
Nilikuwa nakuona wa maana kwa sasa sijui ni kuweke fungu gani,unamtetea Said Mitanda kwa upuuzi huu. CRAP!
Wakuu,

Kuna Uzi umepandishwa jukwaani ukiwa na taarifa kwamba Mkuu wa Wilaya ya Nkasi amewaamuru askari kuwaadhibu wananchi.

Ufafanuzi wa taarifa hiyo ni kama ifuatavyo:

Jana, Wananchi, Mbunge na Mkuu wa Wilaya hiyo Ndg Said Mtanda walikubaliana kufanya kazi ya kujenga zahanati ya kijiji iliyokwama kwa takriban miaka 5 huku wananchi wakitembea umbali wa Km 20 kufuata huduma za afya.

Wakati huo huo kwenye kijiji cha Ntuchi (siku ya jana Jumamosi) kulikuwa na mnada ukiendelea hivyo baadhi ya vijana walitajwa kwenda kunywa pombe kinyume na makubaliano ya kufanya kazi kwa pamoja (Songambele).

Askari wa JKT ambao ni mafundi walikuja kusaidia ujenzi wa zahanati hiyo kwakuwa zana zote ( Mbao, bati, misumari) kwa miaka miwili vimekuwa vikioza.

Vijana waliokuwa wamekwenda mnadani walifuatwa wakaletwa ili kushiriki zoezi hilo (songambele).

Askari waliwaleta wananchi ili kufanikisha zoezi hilo na waliokaidi walirushwa kichura chura!

Wananchi kwa pamoja wamefurahi kwakuwa kazi iliyopangwa imefanyika.

Mpaka kufikia muda huu ( Leo jumapili 13, August) wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kuendelea kushiriki zoezi hill.

Hakuna wanajeshi waliokuja kushiriki Bali ni service men waliojitokeza kujenga zahati kwa kushirikiana na wananchi.

Pia askari hao hao (service men) walishiriki shughuli za maendeleo katika kijiji cha Kasu.

Mtoa taarifa aliyejitanabaisha kama mwanahabari anapaswa kufuata misingi na weledi wa taaluma ya habari.

Ofisi ya mkuu wa wilaya Nkasi imesikitishwa na taarifa zilizotolewa mtandaoni za upotoshwaji!
 
Unataka maendeleo yaje kwa kuchekacheka tu lazima uyapiganie. kuna mtu anapata maendeleo hivihivi kwa kukaa barazani na kunywa pombe, lazima ahangaikie.

Wewe unaonekana zebe kabisa. Kwanza hata maandiko yako yanaonyesha kutojali, mvivu, kutotaka maendeleo ya wanakijiji na unaonekana mhuni tu usiyefikiri.

Ikiwa walikubaliana na mkuu wa wilaya yao ilibidi watii makubaliano yao istoshe mkuu wao wa wilaya naye anashirikiana nao katika ujenzi wa zahanati. Kama kuna mnada wangejadiliana iahirishwe mpaka siku inayofuata.

Zahanati ni jambo jema ya kuwahudumia haohao wanaolalamika. Watoke jasho sasa hivi wafaidike baadae. Musipofanyiwa mutaanza kulialia serikali imewatenga haiwajali watu wake.

Mimi sio mkuu wa wilaya, wala sio mpambe wake, wala sikai eneo hilo wala mkoa huo wala sijawahi kuwasiliana nae.

Tusitetee uzembe.
Maharage ya Nazi... Siku ya mnada haiwezi kuhairishwa kiboya boya kama unavyotaka iwe Icho kijizahanati kingejengwa leo. Unaonekana wewe una ujamaa na huyo Mchemfu Mtanda.
 
Coco, acha aendelee na usanii wake wakati watu wameumia na asidhani Wananchi ni wajinga kiasi anachofikiri yeye. Kesho nitakuwa Sumbawanga na full story itakuwa mezani. Yeye aweke hata watu wa kutuzuia kufika hapo kijijini wakati tunatokea Sumbawanga. Lakini teknolojia imepanuka tutapata hata mwananchi mmoja aliyechukua matukio kwa Simu maana wengine walitoka maeneo ya mbali na hapo kijijini kwa shughuli za biashara ikiwemo wauza mitumba toka Sumbawanga na wanunuzi ya ng'ombe hapo mnadani.

Sent using Jamii Forums mobile app

Safari njema.. tunasubiri.
 
Unataka maendeleo yaje kwa kuchekacheka tu lazima uyapiganie. kuna mtu anapata maendeleo hivihivi kwa kukaa barazani na kunywa pombe, lazima ahangaikie.

Wewe unaonekana zebe kabisa. Kwanza hata maandiko yako yanaonyesha kutojali, mvivu, kutotaka maendeleo ya wanakijiji na unaonekana mhuni tu usiyefikiri.

Ikiwa walikubaliana na mkuu wa wilaya yao ilibidi watii makubaliano yao istoshe mkuu wao wa wilaya naye anashirikiana nao katika ujenzi wa zahanati. Kama kuna mnada wangejadiliana iahirishwe mpaka siku inayofuata.

Zahanati ni jambo jema ya kuwahudumia haohao wanaolalamika. Watoke jasho sasa hivi wafaidike baadae. Musipofanyiwa mutaanza kulialia serikali imewatenga haiwajali watu wake.

Mimi sio mkuu wa wilaya, wala sio mpambe wake, wala sikai eneo hilo wala mkoa huo wala sijawahi kuwasiliana nae.

Tusitetee uzembe.
Tumia kichwa chako vizuri kuwaza soma tena ilikuwa ni siku ya nini wakati huyo mtumwa wa ccm alipokwenda kufanya udhalimu

sent from my BlackBerry keyone using JamiiForums mobile app
 
Munaleta hoja isiyo na msingi. ZAHANATI wameiomba hao hao wanakijiji kutokana na shida wanayoipata... zahanati inajengwa mara moja na minada iko kila siku. Sasa unataka waichezee fursa itakayowahudumia wao wenyewe.
Istoshe walikubaliana hao wenyewe siku ya kwenda kushirikiana kuijenga sasa wanapotoroka kazi yao wenyewe unataka mkuu wa wilaya afanye nini....

Musiwe wanafiki wa kudai maendeleo huku mukishindwa kuisimamia wenyewe. Tutabaki na porojo tu.
 
Back
Top Bottom