Unatuhakikishia vipi kuwa taarifa yako imebeba ukweli?
Kwa sababu ni ya ukweli kama ambavyo ni Lazima Lowasa agombee kupitia CCM
Unatuhakikishia vipi kuwa taarifa yako imebeba ukweli?
uclazimishe wewe jisemee peke yako inatosha..
Subirini kichapo chenu october
Sasa huu uzi waliuleta hapa wa nini?
Unatuhakikishia vipi kuwa taarifa yako imebeba ukweli?
​kweli kiingereza kilikuja na mashua, Mbowe alisema this is war, jamani hadi masikio yana malienge"Zitto is who"
Mkuu sijaelewa vyema. Kwamba wajumbe wa mkutano mkuu wa CUF, wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CDM, wajumbe wa mkutano mkuu wa NCCR na wajumbe wa mkutano mkuu wa NLD watakutana pamoja kumchagua mgombea Urais wa UKAWA. Idadi yao kwa kila chama inalingana kweli? Kwa sababu naona wale ambao watakuwa na wajumbe wengi wa mkutano mkuu wataweza kumpitisha mgombea toka chama chao. Hii mtaifanyaje ili iwe na uwakilishi sawa kwenye huo mkutano mkuu wa mikutano mikuu ya vyama?
Leo kumezuka taarifa katika magazeti kuwa UKAWA wamegawana majimbo 211 na bado majumbo 18,
Taarifa hiyo sio ya kweli, ni taarifa yenye lengo la kupotosha umma na kudhalilisha umoja wetu wenye nia ya kumkomboa Mtanzania dhidi ya serikali hii dharimu.
Maadhimio ya wakuu wa Ukawa mwezi jana yalikuwa ni ya pamoja, ambayo ni Vyama vyote vitapendekeze/vitateua wagombea wao wa Urais ambapo CUF itampendekeza mgombea wake, CHADEMA itampendekeza mgombea wake, NLD itampendekeza mgombea wake na NCCR MAGEUZI itampendekeza mgombea wake pia,
Kisha wagombea wote watakutanishwa na kamati kuu/wajumbe wa mkutano mkuu wa vyama vyote kwapamoja watamchagua mgombea mmoja atakaye gombea kupitia UKAWA.
Vivyo hivyo kwenye ubunge, vyama vimeruhusu watia ni wao wajitokeze kuutangazia umma kuwania majimbo,
Hatua za kumpata mgombea wa jimbo kuputia UKAWA ni sawa nau zilezile zinazotumika kumpata mgombea urais. Labda pale ambapo kuna ufuasi wa chama kimoja tu basi vyama vingine vitaunga mkono tu.
Sasa propaganda zinazoendelea zinatoka mtaa wa saba kwa majoka yenye makengeza, Makamanda kuweni makini msiyumbishwe na uzandiki huo wa ccm.
Wale mnaotia nia endeleeni kujitokeza katika majimbo kwakufuata miongozo ya vyama vyenu bila kusombwa na propaganda za ccm.
Sasa huu uzi waliuleta hapa wa nini?
Sasa huu uzi waliuleta hapa wa nini?
dharimu=dhalimu
Mkuu najua hii ni hatua ngumu sana na kwa uzoefu wangu kwenye hatua hii ndio umoja wa upinzani huwa unaparaganyika. Wanachama wa vyama wanafahamu kwamba ukipata ubunge chama chako kinajulikana na kuimarika pia kuna ruzuku. Hivyo hii ni hatua ngumu sana na ushahidi upo kwamba huko nyuma hatua hii imesababisha kuvunjika kwa umoja. Hata hapa nimeanza kuona watu wanasema wamejijenga na kukijenga chama hivyo haiwezekani watu wengine watumie UKAWA kujineemesha kwa jasho la wengine. Mwanzo wa ngoma ni lele, na hapa kuna lele.Utaratibu utawekwa ili kukidhi uwiano ikiwa kutakuwa na mapungufu hayo,
Mkuu najua hii ni hatua ngumu sana na kwa uzoefu wangu kwenye hatua hii ndio umoja wa upinzani huwa unaparaganyika. Wanachama wa vyama wanafahamu kwamba ukipata ubunge chama chako kinajulikana na kuimarika pia kuna ruzuku. Hivyo hii ni hatua ngumu sana na ushahidi upo kwamba huko nyuma hatua hii imesababisha kuvunjika kwa umoja. Hata hapa nimeanza kuona watu wanasema wamejijenga na kukijenga chama hivyo haiwezekani watu wengine watumie UKAWA kujineemesha kwa jasho la wengine. Mwanzo wa ngoma ni lele, na hapa kuna lele.