USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

USAHIHI: UKAWA hawajagawana Majimbo

Mwakyembe ashinde ubunge Temeke?mnaleta utani nyie.Hilo jimbo wawaachie CUF.

katika wagombea wote wa ukawa mtolea wa cuf ,kaswaka wote kwa pamoja wanakiri mwakyembe ni jembe .nikijana jasiri ,mtu wa watu anauwezo mkubwa wa kujenga hoja na abagui chama yupo pande zote mbili cuf na chadema anasaidia kwa pammoja hata jana amekwenda kumtoa mwenyekiti wa mtaa keko shamshuma chang'ombe police bila ya kujari kama yeye ni wachadema temeke tunaitaji jembe linalo jiuza sio kutegemea chama
 
Ahsante sana kwa taarifa. Ccm watatugawa lkn hatutagawanyika
 
Kwa hali ya kisiasa ilivyo kama mgombea urais hatakuwa wa Chadema lazima UKAWA itakufa. I stand to be corrected if my prediction on presidential will come out of chadema and ukawa remains un-shakable
 
Ahaaa ahaaaa ahaaaa nimecheka sana kila sehemu mgombea wa chadema ndio mwenye nguvu wa vyama vingine si lolote si chochote nimeamini usemi usemao mafahali wawali hawawezi kuishi kwenye zizi moja tusubiri na tuone
 
Hiyo ndio Sumu ya muungano kuona mmoja superior than other, hapo naanza kutilia shaka juu Ya umoja wenu!

Mwisho wa ck usiilaumu CCM maaa hapo hawapo kbs!
 
Babo mengi nando kwanza mwezi 3 unaisha bado miez 5 wa 6 final
 
Back
Top Bottom